cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,336
Good advice indeedBinafsi naona km lipo ndani ya uwezo wako na halikucost kuweza kulitatua just do it, msaidie tu. Ila kwa swala la kurudiana nae usiruhusu hata kidogo, tena ukishamaliza kumsaidia mblock kabisa akafie mbele.