Comfucious pedagogy
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 211
- 39
- Thread starter
- #21
nimekupataNdio walivyo hao ww kama umempata mwingine mwenye mapenz ya kwel huyo achana nae
nimekupataNdio walivyo hao ww kama umempata mwingine mwenye mapenz ya kwel huyo achana nae
...nikaona kila mtu achukue chake sasa Leo anatuma" SMS I miss you" tena facebook atakuwa ana nini huyu?
eheeeeee!!!Kwa hiyo unalazimisha tukwambie anakutaka tena?????? mmmh!!!!!
Kama uliona kuwa kila mtu achukue chake...
Sasa hilo la kuandikiwa "i miss you" mbona limekuzuzua hata kuanzisha thread?
Si ulishapiga moyo konde wewe na ukaendelea na hamsini zako...
Watu wanapenda maneno ya kufariji...!!
Huyu anaonekana zuzu...
Sidhani hata kama kaelewa ujumbe uliomuwekea...
eheeeeee!!!
Nilikua na girlfriend wangu tukiwa tunamipango ya ndoa enzi hizo sina kazi,nikapata kazi mbali na nyumbani nae still akiwa anasoma, tulipanga anitembelee huku nilipo baada ya field kuisha.
Lakini time ikafika mara ohooooo mama amekataza, kumbe anamshikaji wingine nikaona kweli fimbo ya mbali haiui nyoka nikaona kila mtu achukue chake sasa Leo anatuma" sms I miss you" tena facebook atakuwa ana nini huyu?