Comfucious pedagogy
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 211
- 39
Nilikua na girlfriend wangu tukiwa tunamipango ya ndoa enzi hizo sina kazi,nikapata kazi mbali na nyumbani nae still akiwa anasoma, tulipanga anitembelee huku nilipo baada ya field kuisha.
Lakini time ikafika mara ohooooo mama amekataza, kumbe anamshikaji wingine nikaona kweli fimbo ya mbali haiui nyoka nikaona kila mtu achukue chake sasa Leo anatuma" sms I miss you" tena facebook atakuwa ana nini huyu?