Alikuwa binadamu kweli?

Tuliza akili kijana, powt #343 nimekujibu kwa kuuliza swali, sababu umekuwa ukirudia sana nukta hiyo.

Post #313 siyo yako na haina swali.
#311 sio 313...sasa kama unaona 343 umeijibu yote poa
 
Malizana kwanza na mimi kwingine usinkimbie ndiyo tuje na hapa...maana nshaona napoteza muda kujibishana nawewe halafu haujibu hoja zangu
 
Malizana kwanza na mimi kwingine usinkimbie ndiyo tuje na hapa...maana nshaona napoteza muda kujibishana nawewe halafu haujibu hoja zangu
Tumalizane wapi wakati unarudia hoja na nimeshakujibu. Napika kote kote, nakuchapa huku na nakuchapa na huko, na popote nitakapo kuona nakuchapa tu, mwendo ni huu huu.

Mimi nipo, sema wapi hujajibiwa na hili la sasa unatakiwa kutuwekea ithibati, hakuna kukwepa kitu.
 
Nimempa mtu baadhi vyenye maana
Vitabu nimetupa
But hata vitabu vyenyewe na picha havitoki.
Ishu sio vitu.ishu ni yeye
Au mpenzi wa kwanza maishani ndo anakuwaga hivi?
Yeah mpenzi wa kwanza maishani ndio anavyokuwaga hivyo ... Niliwahi kuwa na crush 1 hivi nilimpenda enzi za primary .. I swear kiufupi sijawahi kupenda ktk maisha yangu Kama nilivyowahi kumpenda yeye .. imepita miaka mingi Sana tangu maisha ya tuteganishe but you can't blv Kuna Wakati huwa ananitokea ndotoni na kunikumbusha zile kumbukizi za utotoni ....
 
Matukio ya hivi nishasikia mara kadhaa kwny simulizi kwa redio za dini.

Uzi huu ungeweka kwny jukwaa la dini ungeshapata mwongozo wenye tija. Hapa majority hawana habari na mambo hayo
Chai tu hizo
 
Nimejikuta nasoma comments zote hadi ya mwisho..

Pole yako Dada ..
Umesema ndo alikua mpenzi wa kwanza vipi tukiachana Na huyo umekua Na wangap? Mpaka now Na yupi Kati yao alie kutoa bkr?
Duhhh
 
Chief wewe utakuwa karibu sana na ukweli kama mtoa mada atakuwa ni mkweli pia.

Visa vya Majini vipo na watu wanasoma na majini na kuishi nayo miaka na mikaka. Ila hili tukio, ngoja nirudi kwenye makabrasha yangu kwanza.
Story tu hizo ..Kama za samaki mtu
hakunaga uhalisia huo
 
Tuwekee picha yake ya mwisho alipokuwa nawe, huenda nasi tunamjuwa kwani tupo hapa hapa Kijitonyama.
 
Mlipiga mechi
?
 
Hakuna kitu unachojibu unaruka ruka tu...sasa kuendeleza hoja zingine na wewe ni sawa na kutukana muda niliopoteza huko nyuma.
Jibu hoja zote ulizoziacha usipojibu usiniletee hoja zingine
 
Yah yanakuwa kama mazingaobwe maana wao wanauwezo wa kucheza na akili zetu.Hukuwa kusikia Kile kisa cha driver Tax aliyekuwa anampeleka mteja wake kigamboni usiku wa manane, wakati feri haifanyi kazi
Unaweza kueleza ninganishe habari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…