Kwenye mikusanyiko ya kielimu. Huwa wanahudhuria na kujifunza.Wapi huko mnakutana na majini kuwapa nasaha?
Kwenye mikusanyiko ya kielimu. Huwa wanahudhuria na kujifunza.Wapi huko mnakutana na majini kuwapa nasaha?
Unamaanisha nn kusema uliumia?!! Ulitapeliwa au ni nn?Hakua Binadamu, na Una bahati, na uache kumfikilia..,.... Ili hiyo Bahati kidogo uliyonayo isije kupotea, ukajuta kuzaliwa....... Mm ni Muhanga, kila ulichosema was the same Kwangu, but Mm nilijua baada ya kuwa nimeumia tayari.
Jaman?!!Umeulizwa alikutomb....?
Mpuuzi wewe lioneNitakusaidia usiogope, kiss haina madhara kama ingekua kujamiana, maana kwenye kujamiana unavaa nafsi ya mwenza wako na kuwa kitu kimoja basi


Labda alimaanisha Bsc in Computer Science.. maana hii ipo UdsmPicha inaanza hakuna degree ya I.T pale UDSM so ulipigwa changa la macho.
Sure ukitegemea kipindi hicho alikua sekondari labda hakuona tofauti.Labda alimaanisha Bsc in Computer Science.. maana hii ipo Udsm
HahahaaLiwiti gani hiyo alikua anakaa upande wa tanesco au wa shule ya liwiti
Tupe direction vema tukamtafute babe wako
Sawa mchungaji![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kanisa Lipo mbezi Luis, karibu sana sana, tuma namba yako PM usiku napokea simu ya mtu mmoja mmoja, utaelezea shida yako nitakusaidia

MmhKwenye mikusanyiko ya kielimu. Huwa wanahudhuria na kujifunza.
Huyo jini alifanya kituko gani kwa hao wanafunzi na hatua gani zilichukuliwaMiaka kadhaa nyuma karne hii hii ya 21, katika chuo fulani vijana walikuwa wanasoma na majini au jini bila wao kuwatambua, isipokuwa siku moja jini mmoja alifabya tukio la ajabu ambalo liliwashangaza wanafunzi wanzake. Wale wanafunzi wakaenda kushtaki kwa mwalimu. Sababu mwalimu ni msomi mkubwa, akajua nini kimetokea na alipokuwa anasomesha akawapa nasaha wale majini, ya kuwa wakiwa wanakuja kusoma basi wasome kisha waende zao, wasiwafanyie vituko ndugu zao binadamu kwani so jambo zuri. Hakika walisikia na mfano wa mambo yale hayakutokea tena.
Kadhia za majini ziko nyingi sana, sababu sisi hatuwaoni wao wanatuona.
Kuna uwezekano mkubwa sana ulisahau ukachanganya nyumba. Kuna baadhi ya mitaa imefanana sana
Hahahhaa wewe toa direction tu, jana nilikua mitaa iyo nikakutana na mtu wa ivyo nikakukumbuka aiseeeHahahaa
Sina babe huko
Yameshapita
kiwepo kisiwepo mimi sijui na sitaki kujua..usinilazimishe nijue unachojua au niamini unachoamini.Kijana hapa utanyoosha maneno, ina maana nilichokiandika hakipo au unajitoa ufahamu ?
Hakuna mambo ya dini hapo, hapo nimeandika ukweli mtupu. Nataka utuambie kipi kimekupelekea kusema ya kuwa majini yanafugwa ?
Nani kakimbia swali?unataka nikukibu unavotaka?unajua maana ya kukimbia?Narudia jibu langu la swali ambalo silikimbii kuwa Sina ushahidi na hamna anayeweza kuweka ushahidi fullstop..kama unabisha weka wewe ushahidi majini yapo utakuwa umeshashinda huu mjadala...ila kwasababu nawewe huwezi utaendelea kubwabwaja kuomba kitu nlichokuambia sina ili usitoe kitu ambacho umeclaim unacho.(in real sense huna)Usikimbie swali kijana utakuwa una matatizo ya akili. Huko juu ulisema ulishuhudia kwa macho hapa unasema mambo ya kiroho hayathibitishiki. Usitufanye mazwazwa kama ulivyo wewe.
Pili, hoja yangu huwezi kuikwepa na mpaka uijibu kipi kilikufanya ukiri ya kuwa majini yana fugwa.
Tatu, vingapi vya kiroho lakini tuna ushahidi navyo, majonzi ni jambo la kihisia au la kimaad ?
Nne, leo hii hakuna mtu aliye muona Mtume Muhammad, ila tunaamino yupo kwa sababu na shahidi zipo, sasa usikimbie jukumu la kuthibitisha unayo yaamini.
Tano, nafanya hivi ili ujifunze na uache ukameme wa kuandika ujinga usio weza kuuthibitisha.
Mbona unaguna bibie ?
Mbona unaguna bibie ?
Kuna kitu alikichukua katika hali isiyo kuwa ya kawaida.Huyo jini alifanya kituko gani kwa hao wanafunzi na hatua gani zilichukuliwa
Unapoteza muda huna la kujibu.kiwepo kisiwepo mimi sijui na sitaki kujua..usinilazimishe nijue unachojua au niamini unachoamini.
Mimi sijasema waislam wanafuga majini lakini wewe ndo wa kwanza kuileta hiyo concept halafu unataka tubishane au labda nikuulize kuna uhusiano gani kati ya uislam na majinni? maana mimi nimeongelea majinni wewe umedakia na waislam.