Alikuwa Anatongozwa Huyu

Alikuwa Anatongozwa Huyu

Na kulikuwa na kauli yake: DOLE TUPU HALINA UKUCHA

Hahahah.

Dah, wee jamaa aisee kweli kabisa mkuu. Ulikuwa ni msemo maarufu tu naona umepotea now. Hahah.

Lol.
 
Watu wa utafiti wanasema wenyekucha dizani hiyo huwa ni mkono wa birika
 
Hapana, ila najua mapishi yake...

Kwa jinsi ulivyo fundi kwenye hii sayari ya mapenzi halaf usijue mapishi yake my loveliest nilitaka kushangaa mwaya.

You are so sweet jmn.
 
Back
Top Bottom