Ahsante sana Dada yangu Mpendwa.Hongera kwa kuadhimisha siku ya kuzaliwa mpendwa
Amina, uwe na saumu njema, inshallahAhsante sana Dada yangu Mpendwa.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Shukrani sana Dada. Karibu.Amina, uwe na saumu njema, inshallah
NisalimieSio kweli
Ooh kumbe! Nizifikishe wapi sasa?Marahaba. Nilimaanisha ufikishe Salam zng
MSAMVUOoh kumbe! Nizifikishe wapi sasa?
Mmh.MSAMVU
Basi KHDMmh.
Mi naishi Ubungo MajiBasi KHD
Sa Hapo ukipanda ABOOD, ni dk 0 upo Msamvu then KHD!Mi naishi Ubungo Maji
Daah. Zamani hizo kilikuwa kiungo MUHIMU sana Ktk salamu!
Eeeeh. Mkuu! Kweli kabisaHahahah.
Unatia dole tu. Lol.
Na kulikuwa na kauli yake: DOLE TUPU HALINA UKUCHAHahahah.
Watu mna maneno jmn. Lol.