Ha ha ha. Wala/Wang'ata kucha wakuje huku wamuone mwenzao
Mongoloid??
Alafu ni huyo huyo mleta uziMbona ana kidole kibaya ivyo?
muombe mtoa mada aniruhusuNipe maana yake basi mkuu.
Penda sana mambo yako mimiHahahah.
Si unajua aisee JF is never boring mkuu.
Acha tu tuongeze umri coz maisha yenyewe mafupi sio.
Lovely.
Ha! ha! ha! Kula/kungata kucha kipaji mkuu. Hicho kimenipitia mbali😛Hahah.
Kwani wee hujawahi kung'ata kucha jmn...?