Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Team kiba100 anataka uroda wako? Asa kwanini usimpe tu?
Team kiba100 anataka uroda wako? Asa kwanini usimpe tu?
Nasikia wanawake wanapenda Me' wenye kucha hizoMla kucha [emoji23][emoji23]
Ni kidole gumba hikiNilifikiri mjusi
Sijawahi kuona kiungo cha hivi Astaghfirullah
Ruxah ni nini bibie?Tayari ruxah imeshatoka mkuu. Thanks.
na huenda angekula na kiganjaHahahah.
Nadhani angekitafuna kabisa aisee.
Hahahaaa. Lol.Nilifikiri mjusi
Sijawahi kuona kiungo cha hivi Astaghfirullah
Ugonjwa wangu huu nimejitahidi kuacha nashindwa!!
Weka picha tukusaidie.Ugonjwa wangu huu nimejitahidi kuacha nashindwa!!
Nilikua sijazila toka December ilivyofika April nilishindwa kuvumilia nikazila zotee.Wooow.
I wish ata niione jinsi ilivyobaki jmn. Hope utakuwa hujaila thana mwaya.
Hahah. Lol.
Now nimebandika kucha mkuu.Weka picha tukusaidie.
Ooh!, Vipi lakini, na hizo za bandia hauzitamanii !??Now nimebandika kucha mkuu.