Hapa kuna mambo mawili au matatu hivi yanatakiwa kufanyiwa marekebisho.
Kwanza katiba yetu, inaladhimisha mgombea wa Urais akitoka Tanganyika basi running mate (VP) lazima atoke Zanzibar and vice versa. CDM walikuwa wanalazimika kutafuta running mate kutoka ZNZ ili ku-qualify ku-contest kiti cha Urais wa JMT. Katiba mpya inaweza ku-solve hili aidha kwa kuondoa huo ulazima, kuruhusu vyama vya siasa kuungana.
Inavyoonekana ukitoa wapemba (DRS Omari, Shein etc), Waunguja wenye elimu dunia ni wachache, wengi wameenda madrassa. Ilikuwa vigumu kwa CDM kupata running aliyesoma coz WAPEMBA wote ambao ndio most educated ni CUF. (kumbuka majiwe yaliwahi kuwashinda wagombea wa CCM kule Pemba, wao waliita kura za MARUHANI)
This was a real shame for CDM kumsimamisha STD VII leaver as a running mate. Kumbuka huyo jamaa angeweza kuwa Rais wa JMT, kama Dr. Slaa angeshinda na kwa bahati mbaya akafariki wakati ameshatumikia zaidi ya nusu ya term yake, uchaguzi usingefanyika, VP angekuwa Rais kumalizia muda uliobaki.
Kama kweli CDM wana nia ya dhati ya kushika dola 2015, basi hili suala la running mate inabidi waliangalie kuanzia sasa. Wawaandae WAZANZIBARI (zaidi ya mmoja) wenye elimu at least first degree, kama hawana elimu dunia basi waanze kuwapatia, ili ikifika 2015 wasiwe tena na running mate STD VII. Danger ya kumuaandaa mtu mmoja ni kwamba anaweza kununuliwa na CCM zero hours, lakini wakiwa zaidi ya mmoja itakiwa vigumu.
Hii ni challange ambayo CDM inabidi waichukie serious. Ingawa Mzee Kawawa alikuwa STD VII lakini mazingira ya wakati huo na sasa ni tofauti ni aibu kuwa na VP STD VII in the 21st century.