Alikiba Vs Diamond: Unfair competition


mkuu alikataaa mwenyewe tu kwa hiyo wasanii wte walioenda kwa lowasa wanauwezo mkubwa kuliko kiba
 
Last edited by a moderator:
Huna hoja?? Jaribu kumpinga kwa hoja basi kuliko haya mashudu unayoyatema humu

Hahahaaa we unamwambia Lukelosakafu ampinge mtoa mada kwa hoja, unafikiri anajua maana ya hoja? We mwambie tu aseme K 4 real ndo analoliweza.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…