Alikiba mwambie Diamond apatane kwanza na Baba yake ndio arudi kwako, Diamond ni mswahili na Mnafiki usimuamini

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
602
1,454
Alikiba mimi kama shabiki yako naomba usimamie msimamo wako uleule usikubali kuyumbishwa na mtu mnafki kama Diamond, ambaye amekuwa akikupiga vijembe mara kwa mara huku akiigiza kuwa anataka kupatana na wewe na muwe kitu kimoja

Mwambie akapatane kwanza na baba yake mzazi ambaye anamchukia ndio arudi kwako, haiwezekani mtu ashindwe kumsamehe au kupatana na mzazi wake aliyemtoa kiunoni alafu aje kwako mtu baki tu ajifanye kuwa anataka mpatane

Hata kumpa mkono skuile ya msiba ulijishusha sana ,kwani ilibidi Diamond aanze kwanza kumpa mkono baba yake mzazi ndio aje kwako yule mtu ni mnafiki nakushauri kuwa nae makini
 
Alikiba mimi kama shaniki yako naomba usimamie msimamo wako uleule usikubali kuyumbishwa na mtu mnafki kama Diamond, ambaye amekuwa akikupiga vijembe mara kwa mara huku akiigiza kuwa anataka kupatana na wewe na muwe kitu kimoja

Mwambie akapatane kwanza na baba yake mzazi ambaye anamchukia ndio arudi kwako, haiwezekani mtu ashindwe kumsamehe au kupatana na mzazi wake aliyemtoa kiunoni alafu aje kwako mtu baki tu ajifanye kuwa anataka mpatane

Hata kumpa mkono skuile ya msiba ulijishusha sana ,kwani ilibidi Diamond aanze kwanza kumpa mkono baba yake mzazi ndio aje kwako yule mtu ni mnafiki nakushauri kuwa nae makini
MNAFKI MKUBWA WEWE..

HATA MUNGU HAPENDI UNAFKI WA HIVI YANI BAADA YA KUJENGA UNABOMOA JPMJAKTAGJGTJMGTJTAT MKUBWA WEWE
 
Alikiba mimi kama shabiki yako naomba usimamie msimamo wako uleule usikubali kuyumbishwa na mtu mnafki kama Diamond, ambaye amekuwa akikupiga vijembe mara kwa mara huku akiigiza kuwa anataka kupatana na wewe na muwe kitu kimoja

Mwambie akapatane kwanza na baba yake mzazi ambaye anamchukia ndio arudi kwako, haiwezekani mtu ashindwe kumsamehe au kupatana na mzazi wake aliyemtoa kiunoni alafu aje kwako mtu baki tu ajifanye kuwa anataka mpatane

Hata kumpa mkono skuile ya msiba ulijishusha sana ,kwani ilibidi Diamond aanze kwanza kumpa mkono baba yake mzazi ndio aje kwako yule mtu ni mnafiki nakushauri kuwa nae makini

Ukapime Akili yako
 
nakubaliana naweye. Ikiwa Masogonge alitimuliwa kwo na baba yake akiwa umri mdogo kidato cha pili, na baadae wakawa peace tu na kuwasaidia wazee wake. Je kua dume zima bado lina bifu na baba.

Nimempa respect kubwa marehemu baada yakujua habari ya historia yake.
 
Masogange hakutimuliwa bali alitoroka kwao. Mungu amrehemu
 
nakubaliana naweye. Ikiwa Masogonge alitimuliwa kwo na baba yake akiwa umri mdogo kidato cha pili, na baadae wakawa peace tu na kuwasaidia wazee wake. Je kua dume zima bado lina bifu na baba.

Nimempa respect kubwa marehemu baada yakujua habari ya historia yake.
Masogange hakutimuliwa ila aliamua mwenyewe kuondoka. Naseeb alitelekezwa na mzee kuanza kujirudi baada ya Naseeb kuwa Diamond.

Halafu Ali Kiba anamuhitaji Diamond kuliko Diamond anavyomuhitaji Ali Kiba.
 
Diamond anahitaji kupatana na kiba zaid kwa kua bifu lina manufaa kwa kiba sana kuliko diamonds
So akipatana tu mjini hapa watakula wapi kina kiba!!!!so ndo mama wanahamu na wanalihitaji haswaa bifu.mwenzao hapendi kibiashara zake kuonekana ana ugomvi na yoyote
Lakin bwana madharau,kichwa cha panzi kiba ndo kwanza anafikiria tumbo lake kupitia bifu hilo
 
Siku kiba akipatana na mondi ndo utakua mwisho wake rasmi,sa hivi wacha haters wa mondi waendelee kukimbilia huko kujifariji na kiba awapige hela kwanza
 
Diamond anahitaji kupatana na kiba zaid kwa kua bifu lina manufaa kwa kiba sana kuliko diamonds
So akipatana tu mjini hapa watakula wapi kina kiba!!!!so ndo mama wanahamu na wanalihitaji haswaa bifu.mwenzao hapendi kibiashara zake kuonekana ana ugomvi na yoyote
Lakin bwana madharau,kichwa cha panzi kiba ndo kwanza anafikiria tumbo lake kupitia bifu hilo
Pumba
 
Back
Top Bottom