Amepost kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii kuhusu ziara hii, hakika kazi nzuri zinadumu na zinalipa...hii yote ni matokeo ya wimbo wa Aje uliotoka mwezi May mwaka jana!!
Kila la heri King kiba!!
Dili bado halijakamilika,unakimbilia kuweka posti,ndio unawapoza mashabiki au nini,au unadhani MOND huwa anakurupuka tu ........ usiniulize nimejuaje,angalia hakuna tarehe wala sehemu itakapofanyika,na mwezi wa pili si mbali,wakati watu shoo ya mwakani lakini tarehe na sehemu tayari wanazijua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.