Alikiba kuanza ziara ya muziki Afrika kusini mwezi February!!

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,110
26,996
Amepost kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii kuhusu ziara hii, hakika kazi nzuri zinadumu na zinalipa...hii yote ni matokeo ya wimbo wa Aje uliotoka mwezi May mwaka jana!!
Kila la heri King kiba!!

de1d630030a9ffdf9e974507f18e1e19.jpg
 
Nenda kapige kazi Kingkiba sisi wengine tunakomaa na kilimo japo mvua hakuna
 
Go good kingkibakuli.....naamini huu mchongo kasaidiwa na diamond.
Hongera diamond
 
Dili bado halijakamilika,unakimbilia kuweka posti,ndio unawapoza mashabiki au nini,au unadhani MOND huwa anakurupuka tu ........ usiniulize nimejuaje,angalia hakuna tarehe wala sehemu itakapofanyika,na mwezi wa pili si mbali,wakati watu shoo ya mwakani lakini tarehe na sehemu tayari wanazijua.
 
Back
Top Bottom