ALIKIBA-KADOGO, Uchambuzi Binafsi.

ALIKIBA-KADOGO, Uchambuzi Binafsi.

Wasanii na sanaa ya bongo wako OVERRATED sana, na hii ni kuanzia kwenye nyumba za uzalishaji na wasanii wenyewe.
 
Kama kila kitu kinatolewa makosa basi ulichoandika kimenipa tabu sana kuelewa hasa neno Mondo, imahaba, kubambaleza, anaoekana, kinyaji, Kiba akilua 🤣 jamaa mwisho wa thread yako ulipaswa kuweka maana ya maneno haya na mengineyo mengi tu.
 
Mtoa mada Police Yeye!
BASATA Yeye!
Mrs. Kiba yeye!
Consultant yeye!
Video producer Yeye!
Audio producer yeye!
Salama Jabir yeye!
Amber Lutty yeye!
Queen Darlin Yeye!
Mlalamikaji yeye!
Mvaaa bikin yeye!
Kifupi jamaa ni Multipurpose!
 
Mtoa mada Police Yeye!
BASATA Yeye!
Mrs. Kiba yeye!
Consultant yeye!
Video producer Yeye!
Audio producer yeye!
Salama Jabir yeye!
Amber Lutty yeye!
Queen Darlin Yeye!
Mlalamikaji yeye!
Mvaaa bikin yeye!
Kifupi jamaa ni Multipurpose!
ha ha ha
 
Sasa si uwasikilize hao wanaofanya kazi nzuri.... kwani unateseka??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom