Alikiba atazidi kupitwa kila siku

vidodi

JF-Expert Member
Sep 4, 2014
344
99
Mi ni team Ali Kiba forever ila jamaa anazingua na sijui anajisikia au vipi maana kila siku anaambiwa hasikii kama atataka kushindana na Diamond naona kachelewa sana.

Katoa audio ya chekecha cheketua siku hizi video ndio inakutambulisha kimataifa kakaa kama mjinga fulani, Diamond katoa video ya nyimbo yake nyimbo ya kawaida sana Sema hafanyi kama Kiba kutanguliza audio.

Dogo mjanja sana katoa video akijua itazidi kumtambulisha kimataifa. Naona Namibia, Ghana, Nigeria, Botswana wanacomment kuhusu video. Ali Kiba unalala tu.

Tuwe wawazi team Kiba Tunajua Diamond yupo juu Sema Diamond Hana kipaji kama Ali Kiba ila ukiendelea hivi utakimbiwa halafu dogo ana dharau ndo maana Hata instagram hajamfollow mtu yeyote.

Diamond big up ishu ni kujulikana kimataifa maana Tanzania umemaliza tayari Kiba ukitaka kuwa juu sikiliza mashabiki acha dharau na angalia soko linaendaje acha ujinga team Kiba tupo pamoja.

Ni ushauri maana tunataka ujulikane Dunia nzima kama R Kelly anakujua why Dunia isikujue? Jitambue.
 
Maskini kiba hawajali mashabiki wake yaan video mpaka leo ya cheketua lo,yaan team kiba washanganda mpaka basi wanjifariji masikin yaan kiba ni sawa na arsenal

Nye bhana kiba hashindani,kwanini mnamshindanisha asiyeshindana
 
Hiyo ni kazi ya management yake acha kutokwa povu hapa.Sisi tubaki kama mashabiki tu na kumsapoti katika kila atakachokifanya.

Ni ujinga kusema kazi ya management, sasa km management inamfelisha asiwe -----.. Basi hyo management take pumba tupu, haionesh nia ya dhat kumtoa kitaifa kumpeleka kimataifa, aende name wakat bhana.. Sidhan kama diamond wakat anahangaika alikuwa n management nzur, Hawa wote wamekuja baada ya kuonesha kitu..
 
Nani amekuambia kiba anashindana na diamond!
mashabiki kama nye mnalazimisha wasanii washindane wakati wenyewe hawashindani

Ishu sio kushindana alikiba ni msaniii ambaye hatakiwi tena hapa bongo namaanisha kaimaliza atoke nje sasa ishu si kushindana kama diamond alimkuta alikiba na kaanza kumpita tena mbali hapa ndo suala la kujiuliza why alikiba zaidi kuwa nyuma wakati r Kelly alimkubali why asikiki nje tatizo hajitambui kama diamond hata barnaba pia hajitambui kila siku ahadi ahadi wakati ana kipaji kikubwa sana
 
Ni ujinga kusema kazi ya management, sasa km management inamfelisha asiwe -----.. Basi hyo management take pumba tupu, haionesh nia ya dhat kumtoa kitaifa kumpeleka kimataifa, aende name wakat bhana.. Sidhan kama diamond wakat anahangaika alikuwa n management nzur, Hawa wote wamekuja baada ya kuonesha kitu..

True mkuu, kuna usemi kuwa "some times later becomes never", ss we waache tu hawa wavivu wa kufikir waendelee kujipa moyo, kuna nguli mmoja anasema "if u wait for a perfect moment to seize an opportunity u will wait until u die"mi naona alikiba anasubir watu wazur wamfate kumsaidia badala ajtume watu walione jasho lake ndo wafikirie kufanya nae kaz.atakomaje!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom