Alikiba atazidi kupitwa kila siku

Mi siamini kama management ya diamond ndo imemtoa kimataifa.sikatai kwa hapa tz management ya babu tale na fela ziko poa..ila kwenye level za kimataifa sidhani..diamond amepasua kimataifa kutokana na juhudi zake plus support ya mafans..dogo ana njaa ya mafanikio na anajua kuitumia fursa pale inapojitokeza...kiba alikuwa kwenye project ya r-kelly..ilikuwa ni nafasi yake pia kutengeneza connection na wasanii wengine..ila kutokana na mablue ya kiba na kujifanya ye ni bora sana nadhani ye ndo alikuwa anasubiri aombwe collabo na wasanii wenzake...

Nakumbuka alivozamia kwenye harus ya p square watu walimcheka sana.
 
Ujue MosDef nakuelewa sana.Tokea mwanzo nimekaa kimya nione watu watakavyoingia chaka hapa maana hawaelewi unamaanisha nini.
Na hata baada ya kusema hivi bado tu....Hahahaaa kuna watu vilaza sana aisee.

Imagine Ali Kiba na Abdu kiba wangeenda hivyo Msibani!!!!
ImageUploadedByJamiiForums1427741707.459894.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mi ni team Ali Kiba forever ila jamaa anazingua na sijui anajisikia au vipi maana kila siku anaambiwa hasikii kama atataka kushindana na Diamond naona kachelewa sana.

Katoa audio ya chekecha cheketua siku hizi video ndio inakutambulisha kimataifa kakaa kama mjinga fulani, Diamond katoa video ya nyimbo yake nyimbo ya kawaida sana Sema hafanyi kama Kiba kutanguliza audio.

Dogo mjanja sana katoa video akijua itazidi kumtambulisha kimataifa. Naona Namibia, Ghana, Nigeria, Botswana wanacomment kuhusu video. Ali Kiba unalala tu.

Tuwe wawazi team Kiba Tunajua Diamond yupo juu Sema Diamond Hana kipaji kama Ali Kiba ila ukiendelea hivi utakimbiwa halafu dogo ana dharau ndo maana Hata instagram hajamfollow mtu yeyote.

Diamond big up ishu ni kujulikana kimataifa maana Tanzania umemaliza tayari Kiba ukitaka kuwa juu sikiliza mashabiki acha dharau na angalia soko linaendaje acha ujinga team Kiba tupo pamoja.

Ni ushauri maana tunataka ujulikane Dunia nzima kama R Kelly anakujua why Dunia isikujue? Jitambue.

Msaliti mkubwa wewe huna lolote unalojua, ww ni mamluki wa Dangote huna tofauti na Zitto.
 
Ninachokiona hapa watu wanachuki za dhati dhidi ya Kiba.

Mziki anoufanya ni pamoja na kujiongezea kipato na kuburudisha mashabiki wake. Sasa wewe kinakuuma nini asipojulikana kimataif?

Kuna jamaa hapo kamtukana matusi mazito..zezeta..nk yote ya nini?
Kwani kumpenda mtu fulani ni lazima umchukie mwingine!

Wote ni vijana wa Kitanzania yapasa kuwasupport!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom