Ana maanisha nini?
Mpaka sasa msanii wa tanzania anayeweza kupewa wadhifa wa GOAT ni Platnumz pekeake. We utajiitaje GOAT wakati hupendi showoff, interviews hutaki kuzungumziwa hutaki labda wewe ni GOTI sio GOAT!
We kweli kiande , me hapo nimezungumzia PKP ... Ila nimeelezea deep ili kwa watu empty set km ww uelewe ... Sio bure wanakuweka itakuaKwa akili yako pasu kwa pasu na Pozi Kwa Pozi ni maneno sawa....
Unaelewa maana ya GOAT Yaani GREAT OF ALL TIME ??? HaKUna kiumbe duniani kinachojimilikisha Hilo neno...
Unaonekana una akili za kuvukia zebra
HahahaTimu domo kaya elimu zero. Eleweni kwanza maana ya neno GOAT ndo mje mlalamike haimaanishi mbuzi jamani
Hapana sio Sawa yeye kujiita great of all time hajaacha alama yoyote ya kukumbukwa kwenye mziki watu Kama Lionel Messi ni sahihi kujiita GOAT kafanya mengi kwenye soka kachukua tuzo za dunia nyingi kulko mchezaji yoyote sasa Huyu wa Tz anaejiita Mbuzi kwa lipi?
Ivi Goat si ndo analiwa na Simba!!!
Acheni fikira hasi...GOAT ni neno ambalo lina wasifu wa Greatest of all time.... hili ni neno halina hati miliki kwa mtu yeyote...hata wewe unaweza ukajiita hivyo..endapo tu kama utajiona kuwa unasifa zinazo stahiki Kuitwa/kujiita hivyo...
Ila sasa tukizungumza katika ukweli Sio fid q wala ali kiba ambaye ana,stahiki hiyo kofia ya hilo neno...Hilo ni neno kubwa sana...na linatumika kwa watu wakubwa walioweza kuleta michango mikubwa dunia nzima.
Sorry..Ndio nani huyo kiba!!
Mbona anavaa nguo za kike?
Km Muhammad Ali au Tupac! Snoopy alimuita Tupac "GOAT' 2017 ktk " Hall of Fame! "