Vodacom sasa hivi wamerahisha mambo so darasa halitakuwa kubwa sana zaidi nikuwa na profile AliExpress yenye taarifa zako sahihi...Mkuuu naomba nijuze utaratibu wa kuagiza vitu kwa AliExpress mimi nataka kuagiza pia please naomba nisaidie nianzie wapi
Mkuuu naomba nijuze utaratibu wa kuagiza vitu kwa AliExpress mimi nataka kuagiza pia please naomba nisaidie nianzie wapi
Sawa wanakuletea hadi mlangoni ila gharama yake sasa ni nusu gharama uliyo tumia kuagiza mzigo.kama ushaona pikipiki au magari ya DHL basi hii kampuni iko nondo kwa kusambaza mizigo hadi sehemu husika na mawakala wake ni wabongo so ukinunua bidhaa yako kuna baadhi ya site unachagua nani wakukuletea mzigo wako so kwa kufuata conctacts wanakuletea hadi mlangoni
hapana gharama ni makubaliano kipindi unanunua kama site nyingi huwa bei kabisa ya shipping so ni choice na bei sio kubwa sana also depend na muda wa deliverSawa wanakuletea hadi mlangoni ila gharama yake sasa ni nusu gharama uliyo tumia kuagiza mzigo.
Una kubaliana na nani while bei unakuwa imewekwa tayari, hilo nililiona banggood bidhaa ya laki mbili ukitumia shipping kwa DHL gharama ikawa elfu sabini nk.hapana gharama ni makubaliano kipindi unanunua kama site nyingi huwa bei kabisa ya shipping so ni choice na bei sio kubwa sana also depend na muda wa deliver
Una kubaliana na nani while bei unakuwa imewekwa tayari, hilo nililiona banggood bidhaa ya laki mbili ukitumia shipping kwa DHL gharama ikawa elfu sabini nk.
Huo unafuu hapo upo wapi. Better kutumia POSTA TU na mzigo inafika salama salimini.
Ni simple sana kama unaAisee nimevutiwa nami.
Kwa Muda nilikua namwagiza mtu aninunulie online halafu namlipa kidogo ila Sasa nataka nianze kuagiza mwenyewe.
Nitapata experience hapa.
Kama umeagiza msumeno watakuibia nini kaka?mm sijawahi kuibiwa mzee
DHL pasua kichwa...gharama ya usafir inazid bidhaa[emoji3]..labda uwe mshuakama ushaona pikipiki au magari ya DHL basi hii kampuni iko nondo kwa kusambaza mizigo hadi sehemu husika na mawakala wake ni wabongo so ukinunua bidhaa yako kuna baadhi ya site unachagua nani wakukuletea mzigo wako so kwa kufuata conctacts wanakuletea hadi mlangoni
Wala,tena nipo Lindi na mizigo yangu yote huwa inakuja kupitia sanduku la posta la ofisini kwetu.Hata hii simu ninayotumia kuandika hapa nimeinunua Aliexpress na ilifika in less than two weeks!
Usinunue alibaba,nunua aliexpress!.....Alibaba hawatumi kwenye sanduku la posta!Mkuu ntakutafuta unipe baadhi ya maelekezo nataka ninunue simu pia alibaba
Sawa...ikiwezkana naomba namba yako pm kwa ajili ya msaada zaidUsinunue alibaba,nunua aliexpress!
Usinunue alibaba kwa sababu alibaba huwa hawatumi kwenye sanduku la posta!Sawa...ikiwezkana naomba namba yako pm kwa ajili ya msaada zaid
Usinunue alibaba,nunua aliexpress!.....Alibaba hawatumi kwenye sanduku la posta!
Sidhani Kama upo sahihi nijuavyo Alibaba na AliExpress mmiliki ni mmoja.mm nna mizigo kibao nimenunua alibaba na nimepokelea posta sina uhakika na hili lako nnavyojua section ya parcel pale posta inapokea mizigo ya po box adress na pia address ya simu sio swala sana hili
mm nna mizigo kibao nimenunua alibaba na nimepokelea posta sina uhakika na hili lako nnavyojua section ya parcel pale posta inapokea mizigo ya po box adress na pia address ya simu sio swala sana hili
Huo mzigo uliagiza kutoka china auMzigo utafikia posta kama ulivyojaza adress yako....achana na free shipping,tumia standard shipping ni hela kidogo sana...mzgo unafka fasta...mzgo wangu wa juu huo una siku 10 tu ushatua bongo kwa standard shippingView attachment 864806
YaaHuo mzigo uliagiza kutoka china au