adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 15,646
- 34,197
Ok sawa , watu kama nyie mnatakiwa muwepo humu jukwaani , wengine wakipata ban wanaumia na wamenyimwa maisha na wengine kawaida yaani sio kitu. Kwa hiyo sio kila mtu anastahili ban.😂😂😂
Naenjoy sana ignorance yako lakini zaidi nachopenda ni arrogance yako, ni tamu sana kama uchi wa pisi zangu.
Kihususani sina na battle wewe, ila ninakuchezea chezea kama hao madenti wangu, ndio maana nasema naenjoy machchari yako, ni matamu sana kama ulivyo mtamu kwa hamas bwana zako
Aya muite mod anipige ban😂😂😂
Na Mimi Nina mambo mengi ya msingi ya kufanya kuliko kuahangaikia jambo hilo , hata Mongolian mda mrefu alikuwa ananishambulia bila sababu za msingi na nikamwambia siwezi kushindana na wewe sababu Nina mambo mengi ya kufanya akawa anazidisha uchizi nikamuonya kuwa "Uhuru una gharama " mtu hakuachi bure bure , baada ya muda nikafanya mchanganuo vitu gani ambavyo vita mpa maamivu makali nikaanza na hivyo navyo mpaka sasa dozi ilipomkoea akawa haamini comeback iliyotokea .
#Nimemaliza #Amani Iwepo