Baada ya kupata tafasiri ya huu uzi......Mtaani kwangu kuna makelele ya mwizi mwizi wa kuku. Baba wa mtaa kauchuna manake na yeye ameiba ng'ombe. Amenikumbusha mfalme Daudi na Nabii Nathani. Tunywe maji tu wanamtaa.
Nidokeze na mimi basi nicheke.Baada ya kupata tafasiri ya huu uzi......
Nimecheka sana .....
Hapana katu tusitegemee!!Hata alivyouza viota vya serikali alinyamaza mpaka leo hatuna jibu lake.Huenda ndo amemfundisha huyu mwizi wa kuku kukaa kimya!!