Aliehoji, "who are you?" bila shaka amepata jibu la swali lake

Aliehoji, "who are you?" bila shaka amepata jibu la swali lake

Haters wa Samia kweli mmechanganyikiwa. Poleni sana, huyo Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Ni kama ana mafunzo ya Kung Fu ambayo Moja ya mbinu zake zinasema "tumia miguvu anayokuja nayo adui ajiumuze/ajipige mwenyewe". Samia anaonekana amewiva kwenye hilo kwani mihaters yake inajitandika vitasa tu yenyewe🤣🤣🤣🤣
 
huu mwaka vijana makini wameamua kuandamana katika utafutaji wa riziki ndugu huko wameshatoka badilika meku
 
Ili tupate msaada wao inapaswa tuoneshe nia kwanza
 
Naamini amejibiwa vizuri sana kwa vitendo na katika wakati sahihi. Ashukuru tu hajagusa maslahi ya Super power kwani na yeye wangemnyoosha.

Hata hivyo, bado hayuko salama kwa uovu alioufanya .
"Who are you" wanakuja wewe mama Manyonyo.......subiri tukuone kwenye Helicopter ukipelekwa kwenye manowari. Fala na muuaji mkubwa. Mbona mmemwachia Thadei leo mbwa nyie.....Mngeona cha moto washenzi nyie.
 
Amepata majibu. Vizuri tu. Loud and clear the voice is heard. Sijui alidanganywa na nani.
Hakuna mtu anaishi kwa taabu kama "who are you ". Haijawahi tokea Rais kutojulikana alipo. Sasa hivi hatujui yuko kwenye boma la mbuzi (Ikulu ndogo) au boma la ng'ombe (Ikulu Kuu). Hiyo ni kifungo kikubwa kwake.
 
Ikifanyika huku walikouliwa maelfu ya raia, kwa kweli litakuwa ni tendo takatifu. Udikteta wa Maduro hawakufikia kiwango cha mauaji kama ya huku kwetu.
 
Back
Top Bottom