Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,022
- 144,379
Less minded commentinciting a crime is an offence punishable under our laws. you must be punished.
Assisting police officer to stop commission of crime and reporting crime are primary duties of every citizen in this country under section 37 and 7 of Criminal Procedure Act respectively.inciting a crime is an offence punishable under our laws. you must be punished.
Yes by you who is already punished by your and your gang's arroganceinciting a crime is an offence punishable under our laws. you must be punished.
Hivi watoto wa Mbowe na Lowasa watakuwepo?Wazo hili,bila kujali utekelezaji wake utakuwaje au nini kitatokea siku hiyo,ni wazo lililotoa funzo kubwa sana kwa wakubwa kuacha kujisahau na pia ni onyo kama sio ishara ya nini kinaweza kuja kutokea siku za usoni iwapo mambo haya yataendelea.
Nina amini asilimia mia moja kuwa wakubwa wenye dhama ya mambo fulani fulani katika nchi hii hawakutarajia kuwa kuna siku vijana wa Taifa hili wanaweza kufikia hatua ya kupanga au kuandaa movement ya aina hii kutokana na kauli zao.
Uliebuni wazo hili nakupongeza sana na mungu akupe maisha marefu maana naamini umewapa watu homework ya kutosha na huenda wakajifunza.
Hahaa ndo sis wenyewe haikuhusu wwWatoto wa viongozi wa juu wa Chadema ndiyo waongoze hiyo kitu.
Umemaliza mkuu. Safi sana.Assisting police officer to stop commission of crime and reporting crime are primary duties of every citizen in this country under section 37 and 7 of Criminal Procedure Act respectively.
Hivi watoto wa Mbowe na Lowasa watakuwepo?
Mkuu kwa mazingira ninayoyaona, katika awamu ya 5 ya uongozi wa Magu, hautakuwa na kazi ngumu kama ya Upolisi......Wazo hili,bila kujali utekelezaji wake utakuwaje au nini kitatokea siku hiyo,ni wazo lililotoa funzo kubwa sana kwa wakubwa kuacha kujisahau na pia ni onyo kama sio ishara ya nini kinaweza kuja kutokea siku za usoni iwapo mambo haya yataendelea.
Nina amini asilimia mia moja kuwa wakubwa wenye dhama ya mambo fulani fulani katika nchi hii hawakutarajia kuwa kuna siku vijana wa Taifa hili wanaweza kufikia hatua ya kupanga au kuandaa movement ya aina hii kutokana na kauli zao.
Uliebuni wazo hili nakupongeza sana na mungu akupe maisha marefu maana naamini umewapa watu homework ya kutosha na huenda wakajifunza.
Hii issue itawatesa sana maana ni aibu kuliko maelezo.Mkuu kwa mazingira ninayoyaona, katika awamu ya 5 ya uongozi wa Magu, hautakuwa na kazi ngumu kama ya Upolisi......
Kwa kuwa kazi ya uaskari ni kupokea na kutekeleza amri yoyote inayotolewa na mabosi wako, bila kutakiwa kuhoji hata kama amri hiyo siyo halali.
Imagine sasa jinsi Jeshi la Polisi linavyojaribu kwa kila hali 'kujiumauma' na kujitahidi kuhalalisha mkutano wa CCM wa tarehe 23 mwezi huu na wakati huo huo kuharamisha mikutano mingine yote inayofanywa na vyama vya siasa vya upinzani!
there is no justification of commiting a crime to stop another. a good citizen reports commission of any crime. however there is no crime which is about to be commited. which makes any who wishes to do any act related to that an offender.Assisting police officer to stop commission of crime and reporting crime are primary duties of every citizen in this country under section 37 and 7 of Criminal Procedure Act respectively.
Haina haja ya watoto wao sisi tu tunatoshaWatoto wa viongozi wa juu wa Chadema ndiyo waongoze hiyo kitu.
Ndio...watakuwepo hata mimi nitakuwepo nimesha andaa combat zangu ,boot ready to GoHivi watoto wa Mbowe na Lowasa watakuwepo?