Aliebuni wazo la vijana wa BAVICHA kwenda Dodoma Mungu ampe maisha marefu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Wazo hili,bila kujali utekelezaji wake utakuwaje au nini kitatokea siku hiyo,ni wazo lililotoa funzo kubwa sana kwa wakubwa kuacha kujisahau na pia ni onyo kama sio ishara ya nini kinaweza kuja kutokea siku za usoni iwapo mambo haya yataendelea.

Nina amini asilimia mia moja kuwa wakubwa wenye dhama ya mambo fulani fulani katika nchi hii hawakutarajia kuwa kuna siku vijana wa Taifa hili wanaweza kufikia hatua ya kupanga au kuandaa movement ya aina hii kutokana na kauli zao.

Uliebuni wazo hili nakupongeza sana na mungu akupe maisha marefu maana naamini umewapa watu homework ya kutosha na huenda wakajifunza.

Hata hivyo,itakuwa ni busara zaidi kama wahusika wote watakaa pamoja katika meza ya mazungumzo kwa lengo kushauriani namna bora ya kumaliza jambo hili pasipo kuleta madhara yoyote na kila mtu akajiona ana haki na haki yake inalindwa.
 
Wazo hili,bila kujali utekelezaji wake utakuwaje au nini kitatokea siku hiyo,ni wazo lililotoa funzo kubwa sana kwa wakubwa kuacha kujisahau na pia ni onyo kama sio ishara ya nini kinaweza kuja kutokea siku za usoni iwapo mambo haya yataendelea.

Nina amini asilimia mia moja kuwa wakubwa wenye dhama ya mambo fulani fulani katika nchi hii hawakutarajia kuwa kuna siku vijana wa Taifa hili wanaweza kufikia hatua ya kupanga au kuandaa movement ya aina hii kutokana na kauli zao.

Uliebuni wazo hili nakupongeza sana na mungu akupe maisha marefu maana naamini umewapa watu homework ya kutosha na huenda wakajifunza.
Hivi watoto wa Mbowe na Lowasa watakuwepo?
 
Mkuu kwa mazingira ninayoyaona, katika awamu ya 5 ya uongozi wa Magu, hautakuwa na kazi ngumu kama ya Upolisi......

Kwa kuwa kazi ya uaskari ni kupokea na kutekeleza amri yoyote inayotolewa na mabosi wako, bila kutakiwa kuhoji hata kama amri hiyo siyo halali.

Imagine sasa jinsi Jeshi la Polisi linavyojaribu kwa kila hali 'kujiumauma' na kujitahidi kuhalalisha mkutano wa CCM wa tarehe 23 mwezi huu na wakati huo huo kuharamisha mikutano mingine yote inayofanywa na vyama vya siasa vya upinzani!
 
Hii issue itawatesa sana maana ni aibu kuliko maelezo.
 
Assisting police officer to stop commission of crime and reporting crime are primary duties of every citizen in this country under section 37 and 7 of Criminal Procedure Act respectively.
there is no justification of commiting a crime to stop another. a good citizen reports commission of any crime. however there is no crime which is about to be commited. which makes any who wishes to do any act related to that an offender.
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom