Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

Ukweli ni kwamba umeoa kikongwe sasa we ulitaka akuambie kuwa umeoa kindimndim wakati ni bibi..kama unamsaidia we msaidie lakini ukweli ndo huo kuwa uliyeoa sio your age neighbour.
 
Mapenzi hayachagui umri, Kama yupo jimama anataka kijana mdogo npo hapa#Team majimama
 
Teh teh teh . Ona hii.
 
Wahenga walisema usimtukane mamba................
Msaidie mshenzi huyo cku nyingine ajifunze
 
Daaah sasa aliyeomba ushauri hataki kushauriwa tena....basi fanya kadri moyo wako unavokutuma
 
"....mm nilikua nna maana yangu kuoa huyu mama..."?!
 
hata mie naweza yeyote kikubwa ni maelewano tu. Hili la kumsaidia ndo la muhim zaidi, kuliko hata udugu wenu na kuoa kwako. Do it as a fundamental human character of generosity.
 
Msaidie mdogo wako, always huwa tunagombana ila undugu haufi kamwe
 
Leo kwake kesho kwako. Kwani hujawahi mkosea mtu? Hukuwahi samehewa?, safari yenu bado ni ndefu sana, tanguliza utu
 
Vipi jimama lako uliliruhusu kumpa hizo pesa mdogo ako?
 
bro huoni kwamba dogo anakupenda ndio hakupenda uoe mbibi, huo ndio ukweli, lipa wema kwa wema, japo uliona kama anakuharibia ndoa, but his love to you drove him to do that
 
Wewee kuwa katili kama hetler kwani hawezi kufa.Na atakuwa na discipline pale mtu ana kosa nyumba na hela.Ila ukimfadhili atajiona kama yeye anakubalika.Aende zake akafie mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…