Alichosema Putin kuhusu Afrika

Alichosema Putin kuhusu Afrika

Putin alisema hotuba hii lini? Putin aliwahi kuzungumza kuhusu ubeberu wa kimagharibi akiwa na viongozi wa kiafrika lakini hajawahi kuisema Afrika na viongozi wake kwa namna ya kuwananga kama ulivyoandika hapo!
Ajabu ni kwamba watu wanachangia point kwa namna ya kukubaliana bila kujiuliza bwana Putin alisema jambo hili lini?
 
Hapo katika Africa kuwa na sarafu yake ndio amemaliza Kila kitu
Marekani anatunyanyasa sana Kwa kutulazimisha tutumie pesa yake

Na ndio maana Marekani anahakikisha hilo halifanikiwi

Gadafi ameuliwa Kwa sababu hiyo alikuwa anataka Dora isitumike katika biashara ya mafuta African

Sadam pia aliuliwa Kwa sababu hiyo alikuwa anataka mafuta yasiuzwe Kwa Dora

Juzi kati hapa pia tuliona Marekani wameanza kumuwinda Traole

Naungana na Putin waafrika ni wajinga sana sio tu viongozi hata raia pia ni wajinga

Raia wa Libya ndio walimsaidia Marekani kuumua Gadafi huku wakishangilia

Sitoshangaa nikiona raia wa Bukina Faso wanamsaidia Marekani kumuua Traole
 
Sasa nchi inaongozwa na Samia unategemea nini kweli?
😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom