Shukrani Mkuu..!!Watu wana pesa na majumba ya kifahari, ila hawana ndoa, hawaoni maana halisi ya maisha, we bado upo young damu inachemka umbo namba nane waona dunia yote yako na wanaume wote hawakufahi, unajichagulia tu kama nyanya sokoni! Tukutane kuanzia 35 tuone utakuwa na akili ya namna gani!
Tunakumbushana coz yashazungumzwa mengi!
Ndoa si shule kupata cheti baada ya mitihani! Usitegemee kupata jibu halisi juu ya ufafanuzi wa maneno hayo ya mzee, ingia UYAONE!!
Saawa Mkuu Umeeleweka.!!"Mwanangu kwenye Ndoa kuna uvumilivu wenye mwisho na uvumilivu usio na mwisho"..!! Kweliii ila UKIWAZA sanaaa...ka ushaonja pipi..wewe WATAKIWA wowaa/olewaaa usituletee WOgA haapaa
Raha ya ndoa ....kulala bila nguo UNA MANUA MANUUUuuuuuuu, ukigeuka huduma ipooo ukinunaa soft touch na lugha nyepezi "nisamehe mupenzi wanguuu" ukifika kazini wawaza wenzio wasioooooaaaaa KISHA wampigia uliye mnunia wampigia simu "I love u darling, mwaaaaaaaaaaaaa""
Absolutely!!!!Really??
Absolutely, very sweet!Really??
Wewe una miaka mingapi ya ndoa boss ?Ukifika miaka 40 utaacha kuogopa Ndoa
Maisha ni zaidi ya sexually attraction,ukiangalia hicho kipengere ndiyo kinawafanya wengi waingie chaka.Ndoa kitu rahisi sana, tatizo la Watanzania mnaoa/olewa na mtu ambaye hakuna attraction sexually baina yenu, ndo maana zinawashinda.
Siri kubwa ya kufanikiwa ndoani ni ,,attraction” hiyo ndo mambo yote, kama hauvutiwi kimapenzi, yaani kama haumwangalii mwenzio na kupandisha mzuka wa kutaka kusex naye na kuwa na hisia kali za kimahaba naye, achana naye!
Maisha ni zaidi ya sexually attraction,ukiangalia hicho kipengere ndiyo kinawafanya wengi waingie chaka.