Hii slogan mkuu naona kama unazingua!Write your reply...ASANTE KWA TAARIFA
Watu wa free basics haoHii slogan mkuu naona kama unazingua!
“Write your reply” kwanini kila post unayotuma hapa unaweka hii kitu?
Hahahahahaha[emoji12] [emoji12]Acha woga mkuu... ndoa ni tamu sana kama ukiwa na busara na ukajua mwenzio anapenda nini na nini hapendi na ukajiheshim... hutakuja kujuta kuoa, binafsi nina enjoy sana kuoa. ULISHAAMBIWA UISHI NAO KWA AKILI SASA UKIONA UMESHINDWA KUISHI NAE JUA KUWA WEWE HUNA AKILI...
Acha woga mkuu... ndoa ni tamu sana kama ukiwa na busara na ukajua mwenzio anapenda nini na nini hapendi na ukajiheshim... hutakuja kujuta kuoa, binafsi nina enjoy sana kuoa. ULISHAAMBIWA UISHI NAO KWA AKILI SASA UKIONA UMESHINDWA KUISHI NAE JUA KUWA WEWE HUNA AKILI...
Swali la Msingi sana!Wewe ni me au ke
Ila ndoa ni zaidi ya sexNdoa kitu rahisi sana, tatizo la Watanzania mnaoa/olewa na mtu ambaye hakuna attraction sexually baina yenu, ndo maana zinawashinda.
Siri kubwa ya kufanikiwa ndoani ni ,,attraction” hiyo ndo mambo yote, kama hauvutiwi kimapenzi, yaani kama haumwangalii mwenzio na kupandisha mzuka wa kutaka kusex naye na kuwa na hisia kali za kimahaba naye, achana naye!
Ila ndoa ni zaidi ya sex