Anakuandaa aje akupige mzinga wa nguvu..........shtukaWiki mbili tatu zilizopita nilianzisha uhusiano na binti ambaye nilimtamani kama sio kumpenda. Moyo wangu ulivutiwa na umbo lake na baada ya kuongea naye kidogo nikajisemea rohoni huyu ndio atakula matunda ya kazi yangu. Nilikuwa najiuliza huyu binti mzuri hivi waharibifu hawajamuona!labda nilipangiwa mm kuwa naye nk.
Siku moja akaniambia yeye ana mtoto mdogo ambaye amemkabidhi aliyezaa naye,nikaanza kuwa na maswali iweje amkabidhi mtoto kwa baba angali mdogo wa miezi minne tu?
Kadri siku zinavyoenda nimekuwa nam finance vizuri tu kiasi kwamba hata kwao wamemshtukia,wanamuuliza mbona unapendeza hivo siku hizi na yeye anawajibu ni kawaida tu! Kwa kweli nam feel moyoni.
Sasa jana kaninyima usingizi,kaniambia hana uhakika kama nampenda kweli,anasema sisi wanaume ni waongo sana. Eti kuna mwanaume alimsaliti na hivyo ameachana kabisa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume yoyote. Mpaka sasa ana miezi saba hajafanya mapenzi,akijisikia hamu huimaliza kwa kuangalia picha za xxx.
Ninachojiuliza kwanini hakuniambia siku zote hizo mpaka ananiambia hivi leo wakati mimi nimejitoa kwa hali na mali kumjali? Sasa wenye mauzoefu niambieni nifanyeje ili niufungue moyo wake uliojeruhiwa!
Anakuandaa aje akupige mzinga wa nguvu..........shtuka
Unaibiwa mchana kweupeee yaani huoni huo ni uongo?? Mtoto miezi minne ampeleke kwa Baba yake?? Ok fine na mbona anakudanganya eti hajado for seven month??? Huoni kuwa anaogopa kumbemenda mwanae ambae anaishi nae na si kwamba yuko kwa Baba yake??? Vitu vingine viko wazi kabisa
Eti eeenh, hivi "kubemenda" hii inakuwaje???!!
Wiki mbili tatu zilizopita nilianzisha uhusiano na binti ambaye nilimtamani kama sio kumpenda. Moyo wangu ulivutiwa na umbo lake na baada ya kuongea naye kidogo nikajisemea rohoni huyu ndio atakula matunda ya kazi yangu. Nilikuwa najiuliza huyu binti mzuri hivi waharibifu hawajamuona!labda nilipangiwa mm kuwa naye nk.
Siku moja akaniambia yeye ana mtoto mdogo ambaye amemkabidhi aliyezaa naye,nikaanza kuwa na maswali iweje amkabidhi mtoto kwa baba angali mdogo wa miezi minne tu?
Kadri siku zinavyoenda nimekuwa nam finance vizuri tu kiasi kwamba hata kwao wamemshtukia,wanamuuliza mbona unapendeza hivo siku hizi na yeye anawajibu ni kawaida tu! Kwa kweli nam feel moyoni.
Sasa jana kaninyima usingizi,kaniambia hana uhakika kama nampenda kweli,anasema sisi wanaume ni waongo sana. Eti kuna mwanaume alimsaliti na hivyo ameachana kabisa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume yoyote. Mpaka sasa ana miezi saba hajafanya mapenzi,akijisikia hamu huimaliza kwa kuangalia picha za xxx.
Ninachojiuliza kwanini hakuniambia siku zote hizo mpaka ananiambia hivi leo wakati mimi nimejitoa kwa hali na mali kumjali? Sasa wenye mauzoefu niambieni nifanyeje ili niufungue moyo wake uliojeruhiwa!
Pornography ni addiction, na huenda kapoteza hamu kabisa ya kudo na mtu. Nenda naye taratibu, ila nakushauri maombi ya kufunguliwa. Muelezee kama imefikia ngumu kwake kuacha kuangalia basi mfanye maombi wenyewe. Mkifunga na kusali itapotea. Then msizini, chukua hatua zote uoe..
Wiki mbili tatu zilizopita nilianzisha uhusiano na binti ambaye nilimtamani kama sio kumpenda....
Kadri siku zinavyoenda nimekuwa nam finance vizuri tu kiasi kwamba hata kwao wamemshtukia,wanamuuliza mbona unapendeza hivo siku hizi na yeye anawajibu ni kawaida tu!
Sasa jana kaninyima usingizi,kaniambia hana uhakika kama nampenda kweli,anasema sisi wanaume ni waongo sana.
Eti kuna mwanaume alimsaliti na hivyo ameachana kabisa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume yoyote.
Mpaka sasa ana miezi saba hajafanya mapenzi,akijisikia hamu huimaliza kwa kuangalia picha za xxx.
Ninachojiuliza kwanini hakuniambia siku zote hizo mpaka ananiambia hivi leo wakati mimi nimejitoa kwa hali na mali kumjali?
Sasa wenye mauzoefu niambieni nifanyeje ili niufungue moyo wake uliojeruhiwa!