Umeshapinduliwa hapo.Huyu mdogo wako alikuwa 'karibu' sana na mme wako ndiyo maan akampakia maneno mengi kirahisi hivyo
Mzee Tupatupa
Hapo nakataa kabisa hajakuwa karibu nae kiivyo nina uhakika asilimia 100Umeshapinduliwa hapo.Huyu mdogo wako alikuwa 'karibu' sana na mme wako ndiyo maan akampakia maneno mengi kirahisi hivyo
Mzee Tupatupa
Mdogo wa kiume mkuu!!!!!!
huyo msichana kurudi kwangu haipo nae anafahamu lakin nachofikiria ni jinsi ya yeye kujua how i feel kwa kitendo alichofanyaKwanza, mtoe mama wa kinaja huyo kwenye ugomvi wenu.
Pili, kijana huyo asirudi kwako asilani
Mwisho, ukicheka na nyani utavuna mabua.
Sasa,kutaneni wote muendeshe shauri na mpate suluhisho.Huyo msichana naye lazima awepo ili aambiwe kuwa mawazo yake si sahihi na hakufanya vyema.Hapo nakataa kabisa hajakuwa karibu nae kiivyo nina uhakika asilimia 100
Sasa,kutaneni wote muendeshe shauri na mpate suluhisho.Huyo msichana naye lazima awepo ili aambiwe kuwa mawazo yake si sahihi na hakufanya vyema.
Lakini,asitokee mmoja wenu kuwanunua mashahidi. Asilani,msizungumze mambo yaliyoenezwa na mwingine peke yenu.Hamtaelewana.Hamtaaminiana.Mambo hayo yanazungumzika na kila kitu kitakwenda sawa. Nadhani umenipata mwanangu Mankaa? Mkinihitaji kuwa Msuluhishi,nitafuteni
Mzee Tupatupa