Alichokisema mugabe kwa obama!?

Alichokisema mugabe kwa obama!?

Haya ni baadhi ya maneno aliyowahi kuyasema President Mugabe, nanukuu
* The only white man you can trust is a dead white man.
*We don't mind having sanctions banning us from Europe, we are not Europeans.
*We are no longer going to ask for the land, but we are going to take it without negotiating.
 
Yeah , hili ndio jembe la Aftica
 
Wonderful piece. We have our cultural values forgot those western ideology and their freemosonic agenda. Almighty God create Eve from Adam rips to comfort him as a partner
 
Huyu ndo komandoo wa afrika aliyebaki after kwame nkrumah, Nyerere nd Ghadafi. Mugabe anastahil kuigwa.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Africa tumuunge mkono kwa pamoja, bila hivyo waha watu wa magharibi watatupelekesha watakavyo, kiongozi wa Africa amesha patikana anahitaji ushirikiano wetu kulinda utamaduni wetu wa Africa
 
Haya ni baadhi ya maneno aliyowahi kuyasema President Mugabe, nanukuu
* The only white man you can trust is a dead white man.
*We don't mind having sanctions banning us from Europe, we are not Europeans.
*We are no longer going to ask for the land, but we are going to take it without negotiating.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom