Hii kali...kweli Mugabe kiboko.Habari zennu wakuu hii nimeisoma kwene mtandao mmoja wa kijamii ivi ni kweeli mugabe amesema haya maneno>?
""If Obama wants me to allow gays
marriage in Zimbabwe, I should
marry him first to show the good"
Duh huyo mwandishi nadhani aliishiwa maswali na alijuta kwanini ameuliza swali kama hiloMugabe katoa jibu Muafaka sana, nakumbuka alipoulizwa na Mwandishi wa BBC kuwa hajioni kuwa Mzee kuongoza nchi? alimjibu kuwa jee hilo swali ni maalum kwa kiongozi wa kiafrika au kishawahi kumuuliza Queen Elizabeth alienza kutawala Uingereza tangu 1952.Kama kweli Obama anapenda Sodoma basi aende kwanza Zimbabwe akachezee Dudu Kongwe la miaka 90 ndio ajue madhara au faida zake.
mugabe katoa jibu muafaka sana, nakumbuka alipoulizwa na mwandishi wa bbc kuwa hajioni kuwa mzee kuongoza nchi? Alimjibu kuwa jee hilo swali ni maalum kwa kiongozi wa kiafrika au kishawahi kumuuliza queen elizabeth alienza kutawala uingereza tangu 1952.
Kama kweli obama anapenda sodoma basi aende kwanza zimbabwe akachezee dudu kongwe la miaka 90 ndio ajue madhara au faida zake.
Habari zennu wakuu hii nimeisoma kwene mtandao mmoja wa kijamii ivi ni kweeli mugabe amesema haya maneno>?
""If Obama wants me to allow gays
marriage in Zimbabwe, I should
marry him first to show the good"