Alichokiomba baba yangu kutoka kwa babu yake kinanitesa.....Plse help

Alichokiomba baba yangu kutoka kwa babu yake kinanitesa.....Plse help

Kwa niaba ya wanajf tunakupa wiki mbili umfukuzie dada white au FP ukiwala hao wapige picha kisha tundika kule jukwaa la watu wazima.
he he heeeeee, I can bet on this........
kuna mkaka mpaka leo ananilalamikia nimemwekea history ya kukataliwa; i.e, hajawahi kukataliwa na mdada yeyote isipokuwa mimi...... ngoja na huyu aje tuone
 
Uwe na gavana. Kufuatwa na akina dada mbona tulishafuatwa sana wengine hapa! Unatakiwa kutulia, kama hujiwezi ni lazima uokoke! Mrudie Yesu, atakuondolea kama kweli umerithishwa madude ya kishetani! Na kama limetoka kwa Mungu basi ukubalike na mbinguni ili utuurithi na uzima wa milele kwa kumpa Yesu maisha yako ndugu!
 
he he heeeeee, I can bet on this........
kuna mkaka mpaka leo ananilalamikia nimemwekea history ya kukataliwa; i.e, hajawahi kukataliwa na mdada yeyote isipokuwa mimi...... ngoja na huyu aje tuone

hata aje anatembea na ulimi.. Mimi ndo nawaweza nyie watoto wa Mama K
 
mtesti lara 1 ndo ujue maana halisi ya "nyota ya kupendwa"
 
Sasa hiyo sio baraka tena bali babu yako amekuachia BALAA na MAJANGA... Pole sana
 
ahahahhahha kati ya vitu huwa sivielewi kimojawapo ni hiki!
 
Mnaacha kurithishana hekima, busara na utajiri mnarithishana mapepo ya ngono.
Nchi hii tuna safari ndefu sana hadi tuufikie ukombozi wa kweli wa fikra
 
Muda sasa unapita na miaka inakwenda hii khali inanitesa.....

Sijawahi kumtongoza msichana awe mzuri au wa kawada akanikatalia, mpaka sasa bado naamini hata nikipata nafasi ya kumuapproach binti ambaye tunaamin ni mzuri tanzania hatanikatalia....

Hivi juzi wadada wawili majiran tena wenye sifa za kupendwa na mme yeyote wapitapo njian wamenigombania....

Khali imemfanya mama anieleze ukweli kwamba Baba yangu alimuomba babu yake ambaye ni babu wangu wa pili kwamba mwanae wa kwanza wa kiume atakapozaliwa awe na nyota ya kupendwa.......

Wasiwasi wangu nahisi babu yangu huyo wa pili aliniachia mibaraka ya kupendwa na wanawake na si vinginevyo thou nafanikiwa na mambo mengine.....

Mimi naona kama hili khali inanitesa sana tena sana kwan kuna wakati wadada wananifuate wenyewe....

Plse advise, this is not a joke it's a seriously issue.....

ko unagombaniwa hao wadada hawako serious,.. Wape ishu nzima wataacha
 
he he heeeeee, I can bet on this........
kuna mkaka mpaka leo ananilalamikia nimemwekea history ya kukataliwa; i.e, hajawahi kukataliwa na mdada yeyote isipokuwa mimi...... ngoja na huyu aje tuone

Ntafanya hvyo ila naamin ataficha ukwel kwan hata sema......ahahahahahahhah
 
hii kubwa kuliko,lazima iingie kny GUINESS -jf book of 2013 lol
 
Niambie weye

kwa hadhi mama salma sio sawa na wale akina wenzetu na sisi na ndio maana namuomba mbandika uzi embu ajaribu zali kwa mama salma pengine nitajiridhisha kwamba ana ndumba kweli na inafanya kazi kwa kila mwanamke
 
Hyo ni bahati jivunie mwaya hata ucwaz wapo ambyo hata hawapati wa kuwasumbuwa
 
mwaya mie uniongeze kny listi ya wanaokupenda lol
 
Back
Top Bottom