Alichokiomba baba yangu kutoka kwa babu yake kinanitesa.....Plse help

Alichokiomba baba yangu kutoka kwa babu yake kinanitesa.....Plse help

Muda sasa unapita na miaka inakwenda hii khali inanitesa.....

Sijawahi kumtongoza msichana awe mzuri au wa kawada akanikatalia, mpaka sasa bado naamini hata nikipata nafasi ya kumuapproach binti ambaye tunaamin ni mzuri tanzania hatanikatalia....

Hivi juzi wadada wawili majiran tena wenye sifa za kupendwa na mme yeyote wapitapo njian wamenigombania....

Khali imemfanya mama anieleze ukweli kwamba Baba yangu alimuomba babu yake ambaye ni babu wangu wa pili kwamba mwanae wa kwanza wa kiume atakapozaliwa awe na nyota ya kupendwa.......

Wasiwasi wangu nahisi babu yangu huyo wa pili aliniachia mibaraka ya kupendwa na wanawake na si vinginevyo thou nafanikiwa na mambo mengine.....

Mimi naona kama hili khali inanitesa sana tena sana kwan kuna wakati wadada wananifuate wenyewe....

Plse advise, this is not a joke it's a seriously issue.....
kweli babu yako sijui baba yako hamna kitu mim nilifikiri umepewa nyota ya kukimbizwa na mavumba kumbe ni wanawake..toka nimezaliwa sijawahi kumsikia tajiri wa mapenzi...lakini labada hao wanaokuoenda wanaweza kukufanya kua bakhresa wa mapenzi..mim sijui ni mtazamo tuu huu..comprende amigos...!!1
 
kaimbe bongo flava na wewe upendwe kama domo
 
luno ni kwako tu
wengine tunamwona kama mwalimu mwenzetu bado.

kwa hadhi mama salma sio sawa na wale akina wenzetu na sisi na ndio maana namuomba mbandika uzi embu ajaribu zali kwa mama salma pengine nitajiridhisha kwamba ana ndumba kweli na inafanya kazi kwa kila mwanamke
 
Last edited by a moderator:
Ni wasichana tu ambao hawajaolewa au hata wake za watu wanakufuata? Mi ningekuwa wewe nisingecheza mbali na mazingira ya ikulu. Ningekuwa najipitisha pitisha, nazunguka zunguka huku na kule hadi mtoto wa vasco da gama au mke wa vasco ajigonge kwangu.
 
Back
Top Bottom