Tunatafuta njia ya kusaidiane katika haya mambo ya mahusiano ili kupunguza maambuzi na usambazaji wa virus ya ukimwi kwa visingizio vya mambo yasiyoeleweka......Je ungependa niweke mada kama ya siasa kwenye jukwaa la mapenzi???? kuna njia nyingi za kusaidiana ili tuikomboe nchi yetu katika janga la ukimwi.......

Kuna wakati inabidi tubebe uhusika ili kufikisha ujumbe.....nahisi utakuwa umenielewa......
Muda sasa unapita na miaka inakwenda hii khali inanitesa.....
Sijawahi kumtongoza msichana awe mzuri au wa kawada akanikatalia, mpaka sasa bado naamini hata nikipata nafasi ya kumuapproach binti ambaye tunaamin ni mzuri tanzania hatanikatalia....
Hivi juzi wadada wawili majiran tena wenye sifa za kupendwa na mme yeyote wapitapo njian wamenigombania....
Khali imemfanya mama anieleze ukweli kwamba Baba yangu alimuomba babu yake ambaye ni babu wangu wa pili kwamba mwanae wa kwanza wa kiume atakapozaliwa awe na nyota ya kupendwa.......
Wasiwasi wangu nahisi babu yangu huyo wa pili aliniachia mibaraka ya kupendwa na wanawake na si vinginevyo thou nafanikiwa na mambo mengine.....
Mimi naona kama hili khali inanitesa sana tena sana kwan kuna wakati wadada wananifuate wenyewe....
Plse advise, this is not a joke it's a seriously issue.....
huyu wa chuo imekuwaje, mbona hueleweki? Wizi mtupu wa kudanganyana hapa.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
naonesha hujakua kumbe unajua kuna ukimwi na babu yako kakwambia utembeze mkwaju anajua kuna ukimwi?
Ukimaliza Chuo utajua kuwa hizo nyama za mishipa ziko sawa na Zafanana utamaliza mabucha nyama ni ileile
huyu wa chuo imekuwaje, mbona hueleweki? Wizi mtupu wa kudanganyana hapa.
Kama una nyota ya kupendwa gombea Uraisi....