Alichokifanya Ngozi

Alichokifanya Ngozi

Tofauti na siasa nakukubali na kukupenda sana.
Huku huwa tunazungumza lugha moja na kuelewana.
Ni kama ulikuwa katika akili yangu,binafsi siwezi kufanya ujinga huo.
Hata mdogo wangu wa damu,siwezi kuruhusu ukaribu wa aina yoyote na shemeji yake....[emoji135]

Hata baba wa wanawe ukimuachia fursa eti ya kumtoa outing binti yake mpaka saa nane za usiku ujuwe hamuachi, labda awe siyo rijali.

Tumeyaona mengi. Mabinti wengi huanza kulishwa uroda na watu wa karibu kabisa majumbani mwao. Hususan baba zao.

Psychologically, visichana vinapoanza kiherehere kiranga huwa kwa baba zao na vivulana huanza kiherehere na Kiranga huwa kwa mama zao.

Watoto ni kuwalinda sana ndani mwao kuliko nje.

Hata vya kiume vingi huanza, ashaakum si matusi, kuharibiwa na watu wao wa karibu.

*kiranga = nyege
 
Kweli,mengi nimeona na kusikia jinsi gani mabinti huaribiwa na baba zao.

Hata hivyo huwa nashindwa kabisa kuelewa,inakuwa vipi hadi binti akubali kufanya machafu na baba yake?
Yako wapi maadili jamani!
Na kama yakitokea haya mimi lawama zangu huzipeleka kwa binti.
Maana niaminivyo (ndivyo ilivyo) wanaume wote ni washenzi.

Binafsi nampenda sana baba yangu.
Lakini sijawahi kumkumbatia wala kumbusu hata siku 1,namuogopa na kumheshimu sana.
Sasa nikisikia mtu katoka na baba yake kimapenzi na nikijenga picha iliyopo kati yangu mimi na baba yangu huwa nachoka kabisa.

Na yote yanachangiwa na haya mambo ya kizungu,mara binti kakaa kihasara hasara mbele ya mzee,mabusu n.k

Ila nimeshikwa na shauku ya kujua wavulana huaribiwa vipi?
Na mama zao?
Ni nadra sana kusikia kijana yuko katika mapenzi na mama yake.
Pongezi kwa wanawake.
 
Inaelekea mama mdogo alishindwa kuchunga mzigo wake mwenyewe, lakini Ngozi hakuwa binti mdogo, angeweza kukataa hata kutishia yule baba kuwa nitamwambia mkeo. Hakuwa na adabu, lakini hivi vibinti vya siku hizi vina tamaa ya pesa.
 
Ngozi ni binti wa miaka 22 akiwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili akisomea shahada ya usawi wa jamii. Ngozi amejaliwa ana weusi wa kiafrika na figure number nane, ukichanganya na kujipenda kwake, ni binti mrembo sana. Katika familia yao Ngozi ni binti wa kwanza kufika chuo kikuu kwahiyo mashangazi na mama wadogo wote wanafuraha kuelezea maendeleo ya Ngozi.

Likizo moja ya chuo ambayo ilikua takriban miezi miwili, mama mdogo wa Arusha alimualika Ngozi aende kwake akapumzike. Mama mdogo ameolewa na mfanya biashara, kama unavyojua machalii wote ni mamilionea!! Kwakifupi mama mdogo maisha super. Tena kwa kutokutaka binti yake asipate tabu, mama mdogo alituma ticket ya ndege kutoka DSM.

Wiki ya kwanza Ngozi kukaa Arusha alikuwa exited kwanza kumuona mama mdogo ambae hawajaonana muda mrefu, pili alikuwa haijui Arusha kabisa. Mama mdogo anakigrocery kwahiyo asubuhi walikuwa wanatoka wote na kurudi jioni. Baada ya wiki mbili ile ratiba ilimchosha Ngozi, ingawa alijitahidi sana kutoonyesha lakini wenyeji wake walimstukia. Mama mdogo alivunjikwa moyo, basi mume wake akamuambia hawa vijana ni wakuwatoa jioni sehemu za starehe.

Uncle alimuambia Ngozi ajiandae wanatoka, mama mdogo mitoko haiwezi kwanza mwenyewe anawatoto wadogo, kwahiyo akishafunga biashara yake anataka awe nyumbani na watoto wakilala na yeye apate kupmzika. Ngozi aliinjoy sana mtoko, na yeye ni mtu wa kinywaji, alipiga viwine vyake huko, walirudi usiku wa kama saa nane.

Alfajiri mmoja katika watoto wa mama mdogo akawa na temperature tena anatapika, mama mdogo ilibidi amwamshe mume wake wamuwahishe mtoto hospitali, wanafika kwenye gari mama mdogo anakuta kufuli la kike, mume wake alikataa kabisa kuwa hafahamu chochote kuhusu lile kufuli. Ngozi alipoulizwa amebaki kimya, ugeni wa Ngozi uliishia pale, na uhusiano na mama mdogo mpaka sasa hauna afya njema kibaya zaidi ni kuwa mama mzazi wa Ngozi anamtetea mwanae na mama mdogo amekuwa mtu mbaya sana.
nahisi kama kuna mtu anapewa ujumbe hapa.tena laiv.
 
Umwachie mumeo kibinti cha miaka 22 aende akanywe nacho mpaka saa nane za usiku kisha umsukumie lawama mwengine?

Hilo libaba si linajuwa wazi umemletea damu mpya makusudi? Au mie ndiyo sijaelewa?

Kiislam tunakatazwa hata kukaa kwenye nyumba pekeetu tukibaki mwanamke na mwanamme seuze leo umtowe mwanamke wa miaka 22 wakalewe na mumeo mpaka saa nane za usiku, khaa!

Kwa namna hiyo, huyo mwanamme angemuacha angekuwa yeye ndiye shoga.

Umpe chui mbuzi ampeleke kwa wenzake?
Umeongea point kubwa sana.... Haiwezekani mwanaume rijali apewe mtoto mbichi aende kumnywesha halafu amrudishe salama salimini... Itakua si uungwana kabsa... Haki imetendeka..

Jacob Zuma kwenye ile kesi yake ya kubaka aliwaambia mahakama "ni kweli nilifanya mapenzi na huyu binti, ila kwa sisi wazulu haiwezekani mwanamke aingie kwako na kanga moja na umuache itakua si haki, nilimtongoza na akakubali kwa hiari yake"

Kumalizia
NAUNGA MKONO HOJA
 
Umwachie mumeo kibinti cha miaka 22 aende akanywe nacho mpaka saa nane za usiku kisha umsukumie lawama mwengine?

Hilo libaba si linajuwa wazi umemletea damu mpya makusudi? Au mie ndiyo sijaelewa?

Kiislam tunakatazwa hata kukaa kwenye nyumba pekeetu tukibaki mwanamke na mwanamme seuze leo umtowe mwanamke wa miaka 22 wakalewe na mumeo mpaka saa nane za usiku, khaa!

Kwa namna hiyo, huyo mwanamme angemuacha angekuwa yeye ndiye shoga.

Umpe chui mbuzi ampeleke kwa wenzake?
mara nyingine unakuwa na pointi hadi basi,umeongea fakti 100%
 
Mara nyingi sana wazazi huwa tunakosea inapotokea inshu kama hzo
Utasikiliza na kutetea upande wa mtt wako pasipo kujali kama how much unamuumiza mtu wa pili
Huwa tunaona kama watoto wetu ni malaika sana na hawawezi kutenda mambo kama hayo
 
Tofauti na siasa nakukubali na kukupenda sana.
Huku huwa tunazungumza lugha moja na kuelewana.
Ni kama ulikuwa katika akili yangu,binafsi siwezi kufanya ujinga huo.
Hata mdogo wangu wa damu,siwezi kuruhusu ukaribu wa aina yoyote na shemeji yake....[emoji135]

Ni kweli ukiacha mambo ya siasa kwenye maadilii namkubali sana Faiza!!
 
Inaelekea mama mdogo alishindwa kuchunga mzigo wake mwenyewe, lakini Ngozi hakuwa binti mdogo, angeweza kukataa hata kutishia yule baba kuwa nitamwambia mkeo. Hakuwa na adabu, lakini hivi vibinti vya siku hizi vina tamaa ya pesa.
lakini kumbuka kuwa walikuwa wakienda baa,
 
Kama baa ni kusocialize kwani Ngozi haendi baa na marafiki zake wa chuo? Akiwa kama mwanafunzi wa chuo hajajua social outing basi anatatizo.
 
Huyu ngoz nae bwege anapigwaje mambo mpaka anasahau pichu bana
 
Umwachie mumeo kibinti cha miaka 22 aende akanywe nacho mpaka saa nane za usiku kisha umsukumie lawama mwengine?

Hilo libaba si linajuwa wazi umemletea damu mpya makusudi? Au mie ndiyo sijaelewa?

Kiislam tunakatazwa hata kukaa kwenye nyumba pekeetu tukibaki mwanamke na mwanamme seuze leo umtowe mwanamke wa miaka 22 wakalewe na mumeo mpaka saa nane za usiku, khaa!

Kwa namna hiyo, huyo mwanamme angemuacha angekuwa yeye ndiye shoga.

Umpe chui mbuzi ampeleke kwa wenzake?

Wote ni washenzi tu hao, kwani hawajielewi wakoje? Maumivu ni kwa mama mdogo ...
mbona pole hakuna maadili na hilo bint halijatul
a na ji baba ni fox la kutupwa..!
 
Umwachie mumeo kibinti cha miaka 22 aende akanywe nacho mpaka saa nane za usiku kisha umsukumie lawama mwengine?

Hilo libaba si linajuwa wazi umemletea damu mpya makusudi? Au mie ndiyo sijaelewa?

Kiislam tunakatazwa hata kukaa kwenye nyumba pekeetu tukibaki mwanamke na mwanamme seuze leo umtowe mwanamke wa miaka 22 wakalewe na mumeo mpaka saa nane za usiku, khaa!

Kwa namna hiyo, huyo mwanamme angemuacha angekuwa yeye ndiye shoga.

Umpe chui mbuzi ampeleke kwa wenzake?
Uzungu unawasumbua
 
My take, wasichana wajue jinsi ya kujicontrol, mitoko inaweza ikawa sehemu ya kibarua, sasa kama kila ukitoka yanatokea haya itabidi magazeti ya Shigongo yauze sana.
 
Hata baba wa wanawe ukimuachia fursa eti ya kumtoa outing binti yake mpaka saa nane za usiku ujuwe hamuachi, labda awe siyo rijali.

Tumeyaona mengi. Mabinti wengi huanza kulishwa uroda na watu wa karibu kabisa majumbani mwao. Hususan baba zao.

Psychologically, visichana vinapoanza kiherehere kiranga huwa kwa baba zao na vivulana huanza kiherehere na Kiranga huwa kwa mama zao.

Watoto ni kuwalinda sana ndani mwao kuliko nje.

Hata vya kiume vingi huanza, ashaakum si matusi, kuharibiwa na watu wao wa karibu.

*kiranga = nyege

You just had to go there?

If the "kiranga" you were referring to is nyege, why did you have to tag me Kiranga ?

Along the shores of Lake Tanganyika, Kiranga is a devilish deity.

Tell me how am I not supposed to interpret this as libel against Kiranga the JF member?
 
Back
Top Bottom