Alichokifanya Ngozi

Alichokifanya Ngozi

Unatokaje na binti wa umri huo usiku wote huo na mke wako kabaki.....hapo ndio mwanzo wa kukosea....mke asipoenda nawe amua kubaki tu ona sasa....hawa mabinti wana asilimia kubwa ya kutuangusha wanaume....ni fact kwa udhaifu na uanaume tulionao.....hivo kosa kutoka na vibinti hata kama ni planned na family.......ndio yale ya kulala na shemeji...
 
Ngozi ni binti wa miaka 22 akiwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili akisomea shahada ya usawi wa jamii. Ngozi amejaliwa ana weusi wa kiafrika na figure number nane, ukichanganya na kujipenda kwake, ni binti mrembo sana. Katika familia yao Ngozi ni binti wa kwanza kufika chuo kikuu kwahiyo mashangazi na mama wadogo wote wanafuraha kuelezea maendeleo ya Ngozi.

Likizo moja ya chuo ambayo ilikua takriban miezi miwili, mama mdogo wa Arusha alimualika Ngozi aende kwake akapumzike. Mama mdogo ameolewa na mfanya biashara, kama unavyojua machalii wote ni mamilionea!! Kwakifupi mama mdogo maisha super. Tena kwa kutokutaka binti yake asipate tabu, mama mdogo alituma ticket ya ndege kutoka DSM.

Wiki ya kwanza Ngozi kukaa Arusha alikuwa exited kwanza kumuona mama mdogo ambae hawajaonana muda mrefu, pili alikuwa haijui Arusha kabisa. Mama mdogo anakigrocery kwahiyo asubuhi walikuwa wanatoka wote na kurudi jioni. Baada ya wiki mbili ile ratiba ilimchosha Ngozi, ingawa alijitahidi sana kutoonyesha lakini wenyeji wake walimstukia. Mama mdogo alivunjikwa moyo, basi mume wake akamuambia hawa vijana ni wakuwatoa jioni sehemu za starehe.

Uncle alimuambia Ngozi ajiandae wanatoka, mama mdogo mitoko haiwezi kwanza mwenyewe anawatoto wadogo, kwahiyo akishafunga biashara yake anataka awe nyumbani na watoto wakilala na yeye apate kupmzika. Ngozi aliinjoy sana mtoko, na yeye ni mtu wa kinywaji, alipiga viwine vyake huko, walirudi usiku wa kama saa nane.

Alfajiri mmoja katika watoto wa mama mdogo akawa na temperature tena anatapika, mama mdogo ilibidi amwamshe mume wake wamuwahishe mtoto hospitali, wanafika kwenye gari mama mdogo anakuta kufuli la kike, mume wake alikataa kabisa kuwa hafahamu chochote kuhusu lile kufuli. Ngozi alipoulizwa amebaki kimya, ugeni wa Ngozi uliishia pale, na uhusiano na mama mdogo mpaka sasa hauna afya njema kibaya zaidi ni kuwa mama mzazi wa Ngozi anamtetea mwanae na mama mdogo amekuwa mtu mbaya sana.


mwanamke ukimpa vitu vizuri kama mitoko na misosi ya maaana unamvua chupi hata kama mmekutana siku hiyohiyo regardless ni mke wa mtu au laaa...ndio maaana sisi wenye magari hatuteseki kuhonga.....mpe lift mdada au mmama huko kwny gari shika mapaja omba papuchi jioni unakiula,,,nimefaidi sana nyuchi za watu kwa kweli na si uongo ngono ni tamu kwa kweli
 
mwanamke ukimpa vitu vizuri kama mitoko na misosi ya maaana unamvua chupi hata kama mmekutana siku hiyohiyo regardless ni mke wa mtu au laaa...ndio maaana sisi wenye magari hatuteseki kuhonga.....mpe lift mdada au mmama huko kwny gari shika mapaja omba papuchi jioni unakiula,,,nimefaidi sana nyuchi za watu kwa kweli na si uongo ngono ni tamu kwa kweli

Kwahiyo wewe hutoi lift kwa msaada lift kwako ni kama mtego?
 
Back
Top Bottom