Alichokifanya Kenyatta ni Akili, Hekima na Busara sio Nguvu

Ni kweli alitumia busara sana kuzima tv za citizen, Ntv pamoja na radio.

Aliwakatia mpaka umeme. hakika Kenyata ni Rais wa kupigiwa mfano.
Roho za watu na media kipi bora,nadhani alizima kuficha ujinga wa Odinga usionekane
 
Je alichokifanya kenyata siyo kuvunja katiba ya kenya maana kama katiba inazungumza kujiapisha ni kinyume na katiba na kenyata ameapa kuilinda katiba iyo je kushindwa kuilinda katiba si inatosha kumuondoa madarakani
Yaani ninyi mang'ombe ni kula majani,kujamba na kuburuza mikokoteni tu,Kemyatta kapima akimpeleka odinga kortini kinanuka raia wema watakufa,akiingilia kiapo kitanuuka raia watakufa hivyo kaamua kukaa kimya ili kuokoa roho za wakenya.Siyo lisukuma lenu hilo roho mbaya tupu
 
Ni Rais wa kumpigia mfano, hata hao wazungu wamejua kama na waafrika demokrasia tunaiweza.anastahiki sifa za pekee Uhuru.ni mzalendo Mungu ampe upeo zaid wa kuwtambua watu wake vizuri
 
Big up sana kwa kenyata
Ingekuwa mahali fulani hao Wakina odinga wangepelekewa difenda zenye wazee kibaoo kuwa kamata

Ova
 
Hivi yale Mazoezi ya Kila Siku Barabarani kwa Majeshi yote wakidai wanafanya Mazoezi ya Viungo Kipindi cha Maandalizi ya UKUTA yaliishia wapi? Nchi ya Maajabu hii!
Acha tu Mungu aepushie mbali maana kwa akili hizi za bwana huyu saa hii tungekuwa na historia tofauti na hili koti la kisiwa cha amani.
 
Mungu ampe miaka mingi na heri kuitunza amani ya Wakenya na sio uchu wa walaku wa madaraka.
 
Kweli ana busara sana. Aekuwa tumeruhusu Raila kuapishwa/kujiapisha japo hakutaka jambo hilo lifanyike. Fikiria kama angesema kwmba "yeye hajaribiwi" na wakati huo huo Raila akakomaa na mipango yake. Hivi sasa hali ya kisiasa ingekekuwa imechafuka ile mbaya. Siku zote busara hulipa, lakini kutumia mabavu hakulipi. Viva Uhuru!
Kashindwa kulinda katiba ya nchi. Kwa mpango huu, ajiandae kwa tukio jingine! Akumulikaye mchana , usiku atakunguza!
 
Back
Top Bottom