alichokifanya huyu jamaa baada ya kutoka milembe

oduko

Senior Member
Dec 16, 2012
169
56
Jamaa karuhusiwa kutoka hospitali
ya vichaa, akapandishwa kwenye
ambulance hadi karibu na kwake,
akaulizwa unapakumbuka kwako?
akajibu ndio nyumba yangu ileee,
wakatoka watoto wawili wamevaa
unifom akasema wanangu walee
wanaenda shule, akatoka
mwanamke akasema mke wangu
yule, ghafla akatoka mwanaume
akasema na mimi yule naenda
kazini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom