Alichokiandika Peter Madeleka kuhusu Tume ya Jaji Chande

Alichokiandika Peter Madeleka kuhusu Tume ya Jaji Chande

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,141
Reaction score
96,170
Anaandika Wakili Peter Madeleka kwenye ukurasa wake wa X:

Itakavyokuwa
Ikiwa watu wataendelea KUGOMA kupeleka USHAHIDI kwa TUME; basi TUME itakuja na RIPOTI kwamba; “HAKUNA USHAHIDI WA WATU KUULIWA 29 OKTOBA 2025”. Watu wakimwaga UGALI, Tume itamwaga MBOGA na MAJI YA KUNAWA

IMG_3193.jpeg
 
Some responses from X;

1. Tume tayari imekamilisha ripoti yake. Hii ya kuomba taarifa kupitia inbox ni kwa ajili ya kuhalalisha tu ile ripoti kwamba tume ilifanya kazi yake ipasavyo. Kama ilivyokuwa tume ya Uchaguzi ilivyoandaa matokeo ya uchaguzi kwanza, kisha zoezi la kupiga kura (gosheni) likafuata

2. Watanganyika sikieni! Kuna tume inawafuata watu dm kutaka watoe maoni kuhusu wanachotaka wao. Sasa!Tulishaelezwa hakuna kutuma picha mtu ni marufuku.Tukaambiwa picha zinazo onekana mitandaoni AI. Rais akahutubia na kueleza sababu za yeye kuua.Jiulize sasa nini tume inataka kwetu
 
Iundwe tume ya kimataifa inayoaminika na wananchi na yenye nia ya dhati uone jinsi ushahidi utakavomiminika lakini kwa tume hii hata mpumbavu wa mwisho hawezi peleka ushahidi wake pale.
 
Hiyo tume inaitwa sekio chafu kusafisha uchafu wa Serikali haramu ya Samuya
 
A lot of sense;
ITAKAVYOKUWA
Ikiwa watu wataendelea KUGOMA kupeleka USHAHIDI kwa TUME; basi TUME itakuja na RIPOTI kwamba; “HAKUNA USHAHIDI WA WATU KUULIWA 29 OKTOBA 2025”. Watu wakimwaga UGALI, Tume itamwaga MBOGA na MAJI YA KUNAWA
That’s just nonsense! Kwani nani amemuambia sisi tunahitaji tume ya kutuambia whether or not kuna watu waliuawa 29 October 2025?
 
Tume Inamamlaka Makubwa Sana Walioyonayo Wanaweza Kupata Taarifa Kuanzia Wizara Kisha Mamlaka Zote Za Vyombo Vyote Vya Ulinzi Kupitia Tasisi Zote Za Afya

Hivyo Vyombo Tosha Sana Kupata Ukweli Na Kupata Wahanga
 
Zile video zilikua ni AI na watu waliouwawa waliuliwa na wale nyumbu waandamanaji uchwara wahalifu ili kuisingizia serekali ndo imeua.
 
A lot of sense;
ITAKAVYOKUWA
Ikiwa watu wataendelea KUGOMA kupeleka USHAHIDI kwa TUME; basi TUME itakuja na RIPOTI kwamba; “HAKUNA USHAHIDI WA WATU KUULIWA 29 OKTOBA 2025”. Watu wakimwaga UGALI, Tume itamwaga MBOGA na MAJI YA KUNAWA
A lot of sense;
ITAKAVYOKUWA
Ikiwa watu wataendelea KUGOMA kupeleka USHAHIDI kwa TUME; basi TUME itakuja na RIPOTI kwamba; “HAKUNA USHAHIDI WA WATU KUULIWA 29 OKTOBA 2025”. Watu wakimwaga UGALI, Tume itamwaga MBOGA na MAJI YA KUNAWA
Madeleka kwa wajuzi wa sheria ni mtupu sana, tatizo lake ujuaji mwingi ana hulka za kutaka kujionyesha kwamba ni mwanasheria nguli.
 
Si kuna tuhuma za makaburi ya halaiki Tume itembelee maeneo yanayohusishwa kuwahoji majirani na kukagua maeneo hayo.

Vilevilee....Tume iombe taarifa idadi ya miili mochwari zote vurugu zilopotokea.

Matumaini Ripoti yao itayajumuisha hayo masaala
 
Kama mtu aliyeichagua hiyo tume ni batili basi tume ni batili na ripoti yake batili, tayari tume halali ya wananchi ikiongozwa na waziri mkuu mstaafu Warioba imeshatoa ripoti
 
Anaandika Wakili Peter Madeleka kwenye ukurasa wake wa X:

Itakavyokuwa
Ikiwa watu wataendelea KUGOMA kupeleka USHAHIDI kwa TUME; basi TUME itakuja na RIPOTI kwamba; “HAKUNA USHAHIDI WA WATU KUULIWA 29 OKTOBA 2025”. Watu wakimwaga UGALI, Tume itamwaga MBOGA na MAJI YA KUNAWA

View attachment 3520423

Nani aliunda tume? Na Kwa Nini aliunda? A
 
A lot of sense;
ITAKAVYOKUWA
Ikiwa watu wataendelea KUGOMA kupeleka USHAHIDI kwa TUME; basi TUME itakuja na RIPOTI kwamba; “HAKUNA USHAHIDI WA WATU KUULIWA 29 OKTOBA 2025”. Watu wakimwaga UGALI, Tume itamwaga MBOGA na MAJI YA KUNAWA
Itatatua tatizo/mgogoro wa serikali na wananchi uliopo au ndio tu itauchochea moto zaidi?

The big problem here, nionavyo mimi, ni kama vile wananchi wanashindana na serikali yao kwa jambo ambalo liko very clear. Na kwamba kuna upande UTASHINDA na mwingine KUPOTEZA wakati nchi na taifa na watu wake wote tumeathirika

UKweli ni kuwa: Watu wameuwawa na vyombo vya dola; Polisi & TISS na mali kuharibiwa. Huu ndio ukweli usioweza kupakwa rangi ya uongo wowote kuubadilisha hata kama tume hii itakuja na manipulations zake kujaribu kuwapa nafuu ya lawama na adhabu tunaowajua kabisa ndio wahusika yaani CCM, Serikali yao (Polisi, TISS, vyombo vingine vya dola ikiwemo mahakama na bunge na zaidi Samia Suluhu Hassan aliyekuwa Rais wakati uhalifu unatokea!!)

Ikija na mawazo kama asemavyo Peter Madeleka kwa macho ya "kisheria" yaweza kuwa YES lakini kiuhalisia sio kwa sbb mgogoro uliopo (SERIKALI vs WANANCHI/UMMA) katika hatua hii hautatuliki kisheria. Na kwa maana hiyo, Tume ikija na conclusion hiyo, basi watakuwa wamefuja pesa zetu tu kwa miezi mitatu kwa sbb it won't help anything!

At this juncture, kila mtu anataka majibu ya maswali haya toka kwa Tume hiyo pamoja na kuwa ilishapingwa hata kabla haijaanza kazi kwa sbb ya kukosa "moral authority" kufanya kazi hiyo;

1. Chanzo cha mauaji haya na uharibifu wa mali ni nini?
👉Je, ni kweli ni Mange Kimambi na Maria Sarungi na wanaoitwa "wanaharakati?" How?

👉Je ni vijana wetu maarufu kama Generation "Z" kifupi GenZ? How?

👉Je, ni Tundu Lissu au John Heche au CHADEMA kama Habib Mchange wapiga propaganda wengine wasemavyo? How?

👉Je, ni CCM, Rais Samia Suluhu Hassan, Polisi, TISS au JWTZ? How?

👉Je, ni mahakama na Bunge kushindwa kusimama ktk nafasi zao? How?

👉Je, ni Tume ya Uchaguzi kuharibu uchaguzi kwa kutengeneza matokeo feki kuipendelea CCM na kupora mamlaka ya umma kuchagua viongozi wawatakao? How this happened?

👉Je, Utekaji na mauaji ya raia yaliyoanza tangu mwaka 2017 kwa jaribio la kumuua Tundu Lissu na kutekwa kwa Ben Sanane? How?

👉Au Je, ni Askofu Josephat Gwajima na kanisa lake lililofutiwa usajili na ghafla from nowhere likarudishiwa lakini baada ya tendo la mauaji kufanyika? How?

#Tume ijibu swali hili muhimu genuinely bila ulaghai linalozaa maswali yote hayo hapo juu👆

#Kwamba: NI NINI CHANZO NA KWA NAMNA GANI EXACTLY? Wasijaribu kutufanya wananchi mabwege hata kidogo. We want the truth of this matter that will linger our ears without doubt 🧐

2. Nani alipanga na kutekeleza mauaji haya?

3. Kwanini waliua watu maelfu? What were the motivating factors for this massacre/genocide?

4. Hatua gani za kisheria na kisiasa zichukuliwe kwa waliotenda uhalifu huu dhidi ya binadamu?

5. Hatua gani zichukuliwe kuzuia hii kitu isitokee tena huko mbeleni?

#Kama Tume itakuja na ripoti yoyote isiyo na majibu ya maswali haya, itakuwa imepoteza muda na fedha za umma bure kwa miezi mitatu na wao watakuwa ni tatizo jingine pia litakalohitaji kutatuliwa!!
 
Tume ilipewa kazi ya kuchunguza vurugu na sio mauaji...
 
Anaandika Wakili Peter Madeleka kwenye ukurasa wake wa X:

Itakavyokuwa
Ikiwa watu wataendelea KUGOMA kupeleka USHAHIDI kwa TUME; basi TUME itakuja na RIPOTI kwamba; “HAKUNA USHAHIDI WA WATU KUULIWA 29 OKTOBA 2025”. Watu wakimwaga UGALI, Tume itamwaga MBOGA na MAJI YA KUNAWA

View attachment 3520423
Ndivyo iluvyo
 
Unamwamini MADELEKA, polisi wa zamani, tapeli, wakili mwenye njaa kali, aliyekuwa na Mbogamboga bega kwa bega mwezi mmoja tu uliopita eti Leo anajifanya mpiga kelele?
Msaliti hatakiwi kuaminika.
Msaliti hasikilizwi.
Msaliti hutupwa mbali Aishi peke yake mpaka stoke hadharani aombe kwamba alikosea asamehewe.
 
Iundwe tume ya kimataifa inayoaminika na wananchi na yenye nia ya dhati uone jinsi ushahidi utakavomiminika lakini kwa tume hii hata mpumbavu wa mwisho hawezi peleka ushahidi wake pale.
Tume ya kimataifa ialike ije kuchunguza familia yako kwa nini ipo kwenye ufukara uliotopea na si nchi yetu huru,kuKUMAji wewe
 
Back
Top Bottom