Alichojitabiria Zitto kimemtokea haraka

Alichojitabiria Zitto kimemtokea haraka

Bavicha wamekupa shilingi ngapi, b,we,g,e mkubwa
 
mwaka jana mwishoni zitto alifanya mahojiano na gazeti la mwananchi na alihojiwa mambo mbali mbali likiwemo la mstakabari wake kisiasa. Mwandishi pamoja na mambo mengine alitaka kujua zitto kwa nini asihame toka chadema na kuhamia vyama vingine. Zitto alisema kuhama chama siyo jambo rahisi, akasema ukihama chama utapata headlines za magazeti kwa wiki mbili mpaka mwezi mmoja alafu unakufa kisiasa.

Kiukweli alichotabiri zitto ndicho kilichomtokea, baada ya kufanya ziara ambayo haikuwa na mafanikio makubwa pamoja na kuhudhuriwa na watu wengi. Zitto alipata headlines kweli kwenye magazeti na mitandao ya kijamii, lakini baada ya mikutano hiyo zitto hasikiki tena. Mikutano yake mikubwa sijui kama ilikuwa na faida maana alishindwa kumchukua hata mwenyekiti wa mtaa awe wa chadema hata ccm.

Nashawishika kukubaliana naye kwamba alichokuwa anaogopa 'kupata headlines za wiki mbili na kufa kisiasa' alikuwa sahihi kabisa. Kujenga chama si mchezo, hata angepewa miaka mitano kujenga chama chake kigoma tu bado ni kazi ngumu sana. Zitto ni kijana ninayemwamini kwamba ana akili na uwezo mkubwa, ilikuwaje akaingia mkenge wa wapiga dili kwamba wanaazisha chama ambacho 'eti' wabunge wengi watajiunga nacho baada ya bunge kuvunjwa? Si amuulize mpendazoe alivyoingizwa mkenge na ccj 2010?

sio kila kitu kuandika ; mjinga mkubwa
andika kuhusu mgombea wenu
 
Mwaka jana mwishoni Zitto alifanya mahojiano na gazeti la mwananchi na alihojiwa mambo mbali mbali likiwemo la mstakabari wake kisiasa. Mwandishi pamoja na mambo mengine alitaka kujua Zitto kwa nini asihame toka Chadema na kuhamia vyama vingine. Zitto alisema kuhama chama siyo jambo rahisi, akasema ukihama chama utapata headlines za magazeti kwa wiki mbili mpaka mwezi mmoja alafu unakufa kisiasa.

Kiukweli alichotabiri Zitto ndicho kilichomtokea, baada ya kufanya ziara ambayo haikuwa na mafanikio makubwa pamoja na kuhudhuriwa na watu wengi. Zitto alipata headlines kweli kwenye magazeti na mitandao ya kijamii, lakini baada ya mikutano hiyo Zitto hasikiki tena. Mikutano yake mikubwa sijui kama ilikuwa na faida maana alishindwa kumchukua hata mwenyekiti wa mtaa awe wa Chadema hata CCM.

Nashawishika kukubaliana naye kwamba alichokuwa anaogopa 'kupata headlines za wiki mbili na kufa kisiasa' alikuwa sahihi kabisa. Kujenga chama si mchezo, hata angepewa miaka mitano kujenga chama chake Kigoma tu bado ni kazi ngumu sana. Zitto ni kijana ninayemwamini kwamba ana akili na uwezo mkubwa, ilikuwaje akaingia mkenge wa wapiga dili kwamba wanaazisha chama ambacho 'eti' wabunge wengi watajiunga nacho baada ya bunge kuvunjwa? Si amuulize Mpendazoe alivyoingizwa mkenge na CCJ 2010?

Mkuu umemaliza utabili mwingine ni kwenda ufundisha uchumi chuo kikuu, je GPA yake inamruhusu?
 
Red: Ndilo jambo ambalo mnalikwepa kulikubali ila litabaki hivo koz ndio ukweli.
Kwa mtu makini anayemjua Zitto hakai akianzisha thread utumbo kama hizi bali ni kusubiria his next move pamoja na ACT katika kuirudisha nchi katika misingi.Karibu ACT-Wazalendo.
Zitto amefulia mkuu habari yake kwisha kabisa.
 
I told you. Zitto is there to stay, mkipenda sawa msipopenda ndo hivyo hivyo. acha iwaume kwanza. .....mbafu zenu.
kwi kwi marehemu wa kisiasa anakuumiza wewe mburula, ulmtegemeakwa mshiko hana kitu he is no where to be seen politically dead
 
Hii ni kama wasanii wa bongo movie, wanajitengenezea maskendo ili wapate kick magazetini..
 
Ni kama mazoea ya mwizi. A:mimba:Akikosa mtu wa kumwibia hujiibia mwenyewe. Msaliti pia huweza pia kujisaliti mwenyewe.
 
Nimesikia ile ziara ndefuu😱 iliyoanzia Songea na kuja kuishia kanda ya ziwa imevuna wanachama 700😛
 
kwa akili alizonazo simlaumu wala simsifii anajua anachokifanya na anajua mwisho wake TUKUTANE OCTOBER

Sidhani kama ana akili,bali ame elimika tuu na siyo tatizo lake ni tatizo la wasomi wetu wengi wame elimika lakini hawana akili si unaona hata tooth pick hatuwezi kutengeneza ,sindano hatuwezi kutengeneza , kwa hiyo jamaa zzk kalikoroga mwenyewe hivyo anatakiwa kulinywa no way out, hakuna namna sasa.
 
kitila mkumbo anaweza kuwa muhusika mkuu katika kupotoka kwake. Kule kumpamba kuwa yeye ni mashuhri sana ilikuwa njia ya kuvuta mshiko toka kwake kwani alikuwa anajua zzk lazima atapewa pesa na watawala wakati yeye hawezi pewa.
wasaliti wote waliahidiwa fedha wakaona fedha ni tamu.sasa wanajuta.mil 700 hazijatoka. Chama twawala ni wajanja sana kwa mijitu milafi kama hii ya act.
Wale madiwani wa shinyanga wao walishituka mapema sana wakaachana na mzee wa ndovu wetu
 
Zitto anawahenyesha chadema kama bata hawalali wanamwaza yeye tu.
 
Back
Top Bottom