Alichofanya Rais Kikwete Australia ni sahihi?

Yah initially alienda states kusoma economics but sijui nini kilitokea after that...

Watoto wa Mkulu wote kichwani wana usaa.. Hata Rizmoko alimaliza kwa mbeleko tu pale UDSM.

Akili ya kusoma Ulaya au Marekani ndio maana likashindwa akapelekwa Malaysia wanakokimbilia waliopata division zero Tz.
 
Sasa ushasema dhima, nkajua labda alikua kwenye mzungumzo official baina ya JK na Abbot, umepotoka, umekurupuka, thread haina maana hii. Mi mwenyewe nlikua natimba kwenye dhima kibao tu na mzee, na ndiko nikokua najifunza jinsi ya kubehave mbele za watu. Ni urithi mzuri kwa mwana kujifunza kamba alizotumia mzazi katika maisha.

ww na mzee yak wot wapumbafu
hujui hata tofaut kat ya dhifa na dhima
shame on u
 
Sasa huu ni wivu wa kike... Mshahara wake unatosha kusafirisha Kijiji kizima ... Anyway najua alichokwenda kufanya huko ni kununua hekalu la yeye kupumzika mambo ya kizidi Unga huku Bongo.... Hao Jamaa walikwapua Dhahabu pale kwenye Mgodi wa Resolute Nzega... 25% ya Uhai wa Mgodi wajanja wakachikichia kasha mgodi ukarudishwa STAMICO ... Hii ndo CCM yenye kuchafua wasafi na kuwang'arisha Wachafu ...
 
Haina shida...

Kagame alienda na bint yake white house marekani... Obama mwenyewe hutembea na wanae sometimes

Au ulitaka uende weye...

Issue sio kutembea nao

The issue ni yeye Ku appear kwenye official event (meeting)
Obama alivokuja bongo wakati anahutubia viongozi uliwaona binti zake?
 
Jamani hii inaonyesha ni baba bora! I like it keep it my president!
Na mnasema mtoto yupo mbali na tz labda ndio amepata muda wa kuwa naye kwa muda huu na ratiba za marais zilivyo ngumu.!
 
Akialikwa Busha akija na mwanawe, kwenu ni sawa?

Akialikwa Obama akija familia yake kwenu ni sawa?

Akialikwa Slaa akienda na hawara yake kwenu ni sawa?

Rais wa Tanzania akisafiri na mkewe na mwanawe, kwenu kosa?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Kichwa chako!

Mdomo umeujaza matusi...... Hakuna ubaya kusafiri nao, waende wale good time afterall miezi 4 imebaki.....ubaya upo kuwapo kwenye mazungumzo ya kiserikali??? Yeye ni mfanyakazi wa Serikali ???
 
Wadau,

Sote tunafahamu kwamba Rais Kikwete yuko ziarani Australia kwa Mualiko wa Gavana Mkuu Peter Cosgrove.

Pamoja akufanya mazungumzio na waziri mkuu Tonny Abbott, Kikwete aliandaliwa dhifa rasmi ya chakula cha mchana yeye na ujumbe wake!

Ujumbe wake umeambaana na vigogo wa MFA na Waziri Abood Pamoja na mkewe Mama Salma!

Kilicho ni shangaza ni kumuona mtoto wa Kikwete Ally JK akiwa katika ujumbe wa JK!

Ni sahihi? Yuko pale kama nani? inamaana status ya Balozi Maharage na ya Mtoto wa kikwete ni sawa?

Utaratibu ukoje? Ikizingatiwa bwana mdogo anasoma Malaysia na si Australia!


Pichani: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea wakati wa chakula cha mchana kwenye jumba la serikali jijini Sydney tarehe 28 Julai 2015 baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Gavana Mkuu wa Australia Mheshimiwa Peter Cosgrove. PICHA NA IKULU
Watanzania ndio waamini kuwa Kikwete ni fisadi
 
kwani mukulu ana watoto wangapi?nasikia tu majina mapya kila siku au anakimbiza na abdullah bin aldulaziz al saud mwenyw watoto70?
 
Watoto wa Mkulu wote kichwani wana usaa.. Hata Rizmoko alimaliza kwa mbeleko tu pale UDSM.

Akili ya kusoma Ulaya au Marekani ndio maana likashindwa akapelekwa Malaysia wanakokimbilia waliopata division zero Tz.
Utakuwa na uhusiano na lowasa, angalia utapigwa fimbo ya kichwa.
 
Back
Top Bottom