incognintum
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 236
- 122
Australia ndio makao makuu ya Simba trust nadhani.
Ashukuru tu Muungano haujamfia,
Vyote ilikuwa vimfia kwa pamoja.
Inamaana JK bado hajafika tu kwenye sakafu ya mwisho (rock bottom) ya ujinga na udhaifu wake?Huyo ni wa kumwacha tu,
Usishangae ameikimbia nchi, unashangaa kualika wanawe.
Wadau,
Sote tunafahamu kwamba Rais Kikwete yuko ziarani Australia kwa Mualiko wa Gavana Mkuu Peter Cosgrove.
Pamoja akufanya mazungumzio na waziri mkuu Tonny Abbott, Kikwete aliandaliwa dhifa rasmi ya chakula cha mchana yeye na ujumbe wake!
Ujumbe wake umeambaana na vigogo wa MFA na Waziri Abood Pamoja na mkewe Mama Salma!
Kilicho ni shangaza ni kumuona mtoto wa Kikwete Ally JK akiwa katika ujumbe wa JK!
Ni sahihi? Yuko pale kama nani? inamaana status ya Balozi Maharage na ya Mtoto wa kikwete ni sawa?
Utaratibu ukoje? Ikizingatiwa bwana mdogo anasoma Malaysia na si Australia!
Pichani: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea wakati wa chakula cha mchana kwenye jumba la serikali jijini Sydney tarehe 28 Julai 2015 baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Gavana Mkuu wa Australia Mheshimiwa Peter Cosgrove. PICHA NA IKULU
Haina shida...
Kagame alienda na bint yake white house marekani... Obama mwenyewe hutembea na wanae sometimes
Au ulitaka uende weye...
Inamaana JK bado hajafika tu kwenye sakafu ya mwisho (rock bottom) ya ujinga na udhaifu wake?
Kila aliyempigia JK kura iwe 2005 au 2010 ajitafakari na kujuta kwa kweli.
Wadau,
Sote tunafahamu kwamba Rais Kikwete yuko ziarani Australia kwa Mualiko wa Gavana Mkuu Peter Cosgrove.
Pamoja akufanya mazungumzio na waziri mkuu Tonny Abbott, Kikwete aliandaliwa dhifa rasmi ya chakula cha mchana yeye na ujumbe wake!
Ujumbe wake umeambaana na vigogo wa MFA na Waziri Abood Pamoja na mkewe Mama Salma!
Kilicho ni shangaza ni kumuona mtoto wa Kikwete Ally JK akiwa katika ujumbe wa JK!
Ni sahihi? Yuko pale kama nani? inamaana status ya Balozi Maharage na ya Mtoto wa kikwete ni sawa?
Utaratibu ukoje? Ikizingatiwa bwana mdogo anasoma Malaysia na si Australia!
Pichani: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea wakati wa chakula cha mchana kwenye jumba la serikali jijini Sydney tarehe 28 Julai 2015 baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Gavana Mkuu wa Australia Mheshimiwa Peter Cosgrove. PICHA NA IKULU
Awe na mtoto wake, au bila mtoto; arudi tu haraka, ajibu issue ya Richmond. Moto huku ni mkali.
mhh..ni mtoto wa jk huyu?....
Lazima Ally JK awepo maana ndio Simba Trust wenyewe hao ...pesa Yao ya Mgao iliyopelekwa kwa Malory Waama ..wamebadili into dollars na ndio Chanzo cha shilingi kuyumba bila sababu
Habari za uhakika ..Simba Trust imewekeza jumla ya Usd 2.5 billion ..Australia ...na kwa uwekezaji huo Kama incentives wakurugenzi wake wote wamepewa honorary residents status .
Kwa Afrika mashariki viongozi wengine wenye ardhi kubwa na uwekezaji huko ni Raila .
Kabila ya kwenda huko alipita kuhamisha pesa zake Swiss kwa kuwa wanna Tabia ya kuwazima viongozi pesa wakiondoka madarakani ...
Huyo ni mtoto wake kabisa, amesoma Kamuzu Academy (Malawi) form 1-6 af kaenda USA kusoma chuo mwaka 2011
Huyo ni wa kumwacha tu,
Usishangae ameikimbia nchi, unashangaa kualika wanawe.
Nachojua ni Malaysia na juzi ame graduate!