Alichofanya Mhariri ya Gazeti la Uhuru kina harufu ya uhaini

True walishambomoa kwenye tozo wakambomoa kwenye ugaidi wamempiga tena kwenye UHURU.
Tulimuonya hakusikia.
 
Chuki ni kubwa sana, Kuna watu sijui wanatakaje. Mama sio yeye aliyeiandika Katiba ya Jamhuri wa ya Zanzibar ambayo viongozi waliapa kuikinda.
 
YUPO MTU HUMO ATAKUWA AMETUMWA NA TIMU GANGSTER KUPIMA UPEPO WA RAIS WETU KIPENZI ILI WAJIPANGE MAPEMA 'thats how intelegent speaks'
Yaani unamaanisha kuwa hili ni kundi la watu waliokosa vifaa vya kisasa kama barometer, litmus paper, thermometer, yard stick, caliper kupima wajiandaeje kukabiliana na nani 2025, badala yake wakatumia kifaa rahisi sana kama jiwe kulirusha kwenye chaka ili waone kitakachokurupuka kutoka kichakani., wamefanikiwa sana kwenye hilo, sasa wanafahamu ukubwa na aina maandalizi yao kulekea 2025.
 
Hapa Mama asipotumia timing kusafisha mchwa waliomo ndani ya chama na serikali, 2025 anaweza jikuta anakwama hivihivi!
Vinginevyo kama hatojali mimi namshauri ni vema akawezesha chama kingine kushika utawala wa dola, hapa atakuwa amejijengea heshima kubwa ya kukumbukwa kama Mama wa mageuzi pengine kuliko marais wote kwani hata Nyerere pamoja kuasisi mfumo wa vyama vingi , lakini hapa alishindwa!
 
CCM wanadhani kila mtu ni mjinga!

Ni kwa mtu asiye timamu kichwani ndio ataamini hapo eti hilo gazeti uchwara limefungiwa kumbe ni igizo lililochezwa na script toka Lumumba.

Swali la kujiuliza Kwanza TV ya Maria Sarungi ilifungiwa miezi 6 ila gazeti la CCM linafungiwa siku 14 na yale ya Musiba yakiendelea kupeta.
Kwahiyo, vyombo vya habari vijiandae kufungiwa. Tulikuwa na mwalimu wetu kule shule ya msingi ambae akitaka kuwatandika saaana atanza kwa kumtandika viboko mtoto wake kwanza ili mseme ametandika wote lakini lengo sio yule mtoto wake.
 
Gazeti la Chama Tawala limefungiwa kwa kuandika taarifa ya isiyokuwa sahihi kuhusu Mkuu wa Nchi na Amirijeshi Mkuu wetu ambayo imesababisha taharuki za kisiasa, kikanuni na kikatiba kwa taifa. Haiwezekani gazeti la Chama tawala likosee taarifa kuhusu Mwenyekiti wa chama wao na Mkuu wa taifa kwa bahati mbaya tu.

Waswahili wanasema "kunguru hana kibyongo ukimuona ana kibyongo kainama kuokota kitu", kazi yako ni kujiuliza mapema kabla hajaruka kuwa kainama anaokota nini? Kifaranga? Panzi? Msoga? au nguo yako ya ndani?

Hawamtaki kiongozi au watataki aendelee? wameandika kwa makusudi au waliteleza? waliandika wenyewe au kuna mtu/watu wako nyuma yao na ni wangapi? Dhamira (motive) ya kuandika habari ile ilikuwa ni nini?

Ni heri kukosea kwenda kugagua tena mlango uliofungwa ujue kama umefungwa kuliko kukosea kuacha kukagua tena mlango ambao haikufungwa ukidhani kuwa umefungwa.

Hii ni hatari kubwa kuliko akina Mbowe. Adui wa ndani ni mbaya sana kuliko adui wa nje.

Ushauri wangu binafsi, vunja baraza la mawaziri ulisuke upya
Kumbe mna adui wa nje anaitwa Mbowe? Na sasa mnawadaka maadui wa ndani no Nani kawaroga nyie CCM akawaaminisha kuwa siasa ni uadui?
 
Gazeti la Chama Tawala limefungiwa kwa kuandika taarifa ya isiyokuwa sahihi kuhusu Mkuu wa Nchi na Amirijeshi Mkuu wetu ambayo imesababisha taharuki za kisiasa, kikanuni na kikatiba kwa taifa. Haiwezekani gazeti la Chama tawala likosee taarifa kuhusu Mwenyekiti wa chama wao na Mkuu wa taifa kwa bahati mbaya tu.

Waswahili wanasema "kunguru hana kibyongo ukimuona ana kibyongo kainama kuokota kitu", kazi yako ni kujiuliza mapema kabla hajaruka kuwa kainama anaokota nini? Kifaranga? Panzi? Msoga? au nguo yako ya ndani?

Hawamtaki kiongozi au watataki aendelee? wameandika kwa makusudi au waliteleza? waliandika wenyewe au kuna mtu/watu wako nyuma yao na ni wangapi? Dhamira (motive) ya kuandika habari ile ilikuwa ni nini?

Ni heri kukosea kwenda kugagua tena mlango uliofungwa ujue kama umefungwa kuliko kukosea kuacha kukagua tena mlango ambao haikufungwa ukidhani kuwa umefungwa.

Hii ni hatari kubwa kuliko akina Mbowe. Adui wa ndani ni mbaya sana kuliko adui wa nje.

Ushauri wangu binafsi, vunja baraza la mawaziri ulisuke upya
Wekeni picha mwendo ya mahojiano ya rais SSH na BBC hapa jukwaani ili wenye akili wachambue majibu yake yalimaanisha kitu gani.

CCM na Serikali mmewaonea wachapishaji wa taarifa bila kufikiri kwa kina alichokimaanisha mh rais SSh wakati akijibu maswali ya mtego ya mwandishi Salimu Kikeke wa BBC Afrika.

Ukweli utadhihirika mkiwachukulia hatua itathibitisha majibu aliyokuwa akiyatoa mh rais yalikuwa sio sahihi na kama hivyo ndivyo ilivyokuwa basi hata kwa maeneo mengine aliyohojiwa majibu yatakuwa pia hayaaminiki.

Punguzeni hasira kwa watu badala ya kushughulikia changamoto zao mnabaki kuadhibiana kwa sababu zisizo na mashiko ya kisheria. Muuthibitishie umma kwamba ni kweli mh rais SSH atagombea mnamo 2025 kama mnadai gazeti lenu limepotosha taarifa kuhusu mahojiano na BBC.
 
Issue hapa ni walichokiandika Uhuru ndicho alichokisema Rais? Kama sio hicho kwanini walikiandika hivyo? hata kama ndio hicho alichokisema Rais, malengo ya kukiandika ukurasa wa mbele wa gazeti kwa maandishi makubwa yaliyokolea yalikuwa ni nini?

Yaani waliiandika habari ile pale kwa manufaa gani na ya nani? Kusema ukweli habari kama ile wakati kama huu ingevuruga watu wengi sana kwenye kufikiri, kutenda, kupanga , kupunzika, kusafiri, kula, matumizi na hata namna ya kuzungunza na kucheka kutegemea na uhusika wako kwenye kinachokwenda kutokea 2025. Kusema ukweli habari kama ile isipuuzwe kabisa na isichukuliwe poa. Hekima na akili nyingi lazima vitumike kutatua jambo hili.
 
J

Je, ni kweli kwamba mh rais SSH atagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo mnamo 2025?
 
Issue hapa ni walichokiandika Uhuru ndicho alichokisema Rais? Kama sio hicho kwanini walikiandika hivyo? hata kama ndio hicho alichokisema Rais, malengo ya kukiandika ukurasa wa mbele wa gazeti kwa maandishi makubwa yaliyokolea yalikuwa ni nini?

Yaani waliiandika habari ile pale kwa manufaa gani na ya nani? Kusema ukweli habari kama ile wakati kama huu ingevuruga watu wengi sana kwenye kufikiri, kutenda, kupanga , kupunzika, kusafiri, kula, matumizi na hata namna ya kuzungunza na kucheka kutegemea na uhusika wako kwenye kinachokwenda kutokea 2025. Kusema ukweli habari kama ile isipuuzwe kabisa na isichukuliwe poa. Hekima na akili nyingi lazima vitumike kutatua jambo hili.
Hatari sn na nusu
 
Yaani sipati picha JK Mungu kampenda (naomba achelewe kumpenda) na Mwinyi ndio kama alivyo mpaka ikifika 2025 atakuwa yupo kote kote duniani na Akhera. Atabakia SSH kama the sole most senior citizen in TZ. Kutakuwa na civil war ndani ya CCM I swear!
 
Back
Top Bottom