Alichofanya Mhariri ya Gazeti la Uhuru kina harufu ya uhaini

J

Je, ni kweli kwamba mh rais SSH atagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo mnamo 2025?
Muda wa lutangaza nia bado kabisa, hata kama nia anayo lakini muda wake wa kusema hivyo sio huu. Hii ni vurugu kwakuwa hata yeye mwenyewe alishawaonya wenzake wasifikirie urais 2025 sasa haiwezekani kabisa yeye afanye kilekile alichowakataza wenzie. Hata hivyo Katiba inamruhusu na utamaduni wa CCM waliojiwekea unamruhusu pia kugombea ndani ya chama bila kupingwa.
 
Yaani sipati picha JK Mungu kampenda (naomba achelewe kumpenda) na Mwinyi ndio kama alivyo mpaka ikifika 2025 atakuwa yupo kote kote duniani na Akhera. Atabakia SSH kama the sole most senior citizen in TZ. Kutakuwa na civil war ndani ya CCM I swear!
ukishaionja nyama ya mtu huachi. Kuna makabila yameshaionja nyama ya mtu.
 
Muda wa lutangaza nia bado kabisa, hata kama nia anayo lakini muda wake wa kusema hivyo sio huu. Hii ni vurugu kwakuwa hata yeye mwenyewe alishawaonya wenzake wasifikirie urais 2025 sasa haiwezekani kabisa yeye afanye kilekile alichowakataza wenzie. Hata hivyo Katiba inamruhusu na utamaduni wa CCM waliojiwekea unamruhusu pia kugombea ndani ya chama bila kupingwa.
Kama hivyo ndivyo ilivyo kwanini gazeti la Uhurru liadhibiwe kwa kweli liliousema?
 
Uhuru wasionewe kwa hili, hii ilisikika mapema kabla ya kuandikwa na ndio ukweli wenyewe.

Message sent and delivered :D .
 
Madame President amtafute huyo mtu mapema. Huyo mhariri na mwandishi watimuliwe ili kupeleka ujumbe kwa wengine....
 
Madame President amtafute huyo mtu mapema. Huyo mhariri na mwandishi watimuliwe ili kupeleka ujumbe kwa wengine....
Kumtumua TU hakutoshi, kinachotosha hapo nikufahamu kwanini ameandika na Nani alimfanyia kazi hii
 
Samia inatakiwa ajue hiyo ni code ametumiwa mapema tu wala hakuna makosa yoyote yaliyofanyika hapo kila kitu kiko kweny program husika
 
Back
Top Bottom