Alichobakiza Mbowe sasa hivi ni kupotosha na kugombanisha serikali na wananchi, hana lingine

Hivi kuna watu humu JF wanaona chadema inafanya sawa kwenye uwanja wa siasa.. serious?
Mimi nataka kujua chadema anakwama wapi?
 
Mbowe tangu akiwa Benki Kuu hanaga maringo 🐼
Nazungumzia kuringa kwa kujiona anamiliki misukule ya kutosha mitandaoni, inamtetea kuliko inavyotetea wazazi wao wenyewe.

Na lolote ataloongea yeye hata kama ni la uongo litapata sapoti kupitia misukule hiyo. Kwa style katika hali ya kibinaadam lazima aringe tu.
 
Mbowe anatetewa na maafisa wenzake 😂😂😂

Ngumu kumeza bwashee 🐼
 
Kila Leo wajinga wanaongezeka Tanzania. Yani unona fahari wabunge kulipwa millioni 18 Kwa Mwezi, ambazo zinakaribia billioni 84 Kwa mwaka ukijumlisha wabunge wote zaidi ya 300. Ila hauoni aibu kuomba msaada wa Mchele wenye virutubisho kutoka marekani. Very stupid.
 
Kwanza agenda ya Mbowe na Chama chake anachokimiliki ilikuwa ni Katiba Mpya, wamepambana weeeee hoja yao imekufa kifo cha mende baada ya miswada kupitishwa bungeni na kuwa sheria.

Akawapotezea muda wanachama wenzake kwa kuona njia pekee ni maandamano, ameandamana weeeee wananchi hawamwelewi.Huko kwenye maandamano ameongea hadi amekaribia kupata shinikizo la damu lakini wapi.

Akaona achezee hela za chama wakaitana tena pale Mtwara wakatoka na azimio la maandamano katika miji mikuu ya mikoa na wilaya.Yaani mnasafiri kwenda mtwara mnaazimia kuandamana!

Sasa ameona njia pekee iliyobakia ni uzushi tu, akipanda stejini kulalamikia hali ngumu ya maisha, wabunge wamejiongezea mishahara, cjui Rais Samia kafanya hivi, yaani hana tena hoja.

Naona kuna siku atajichanganya atavunja sheria za nchi atarudi Ukonga kuendelea na maisha yale yale ya wakati ule.

Maana utaendelea kutoa taarifa za uongo hadi lini? Serikali ipi itakuangalia weeee uwe unapotosha na kuleta uchonganishi, hakyamungu Mbowe utayatimba tu.

Kumbuka mahabusu kuna joto sana, hakulaliki huko.Shauri yako.
Nilikuwa naamini wewe ni Mbumbumbu kwenye soka tu, kumbe kwenye siasa ndo Fala kabisa?
 
Ww mtoto wa mama ndio unaogopa jela. Alichosema Mbowe ndio ukweli wenyewe.
 
Nazungumzia kuringa kwa kujiona anamiliki misukule ya kutosha mitandaoni, inamtetea kuliko inavyotetea wazazi wao wenyewe.

Na lolote ataloongea yeye hata kama ni la uongo litapata sapoti kupitia misukule hiyo. Kwa style katika hali ya kibinaadam lazima aringe tu.
Msukule ni yule anayelipa wabunge Bilioni 84 kwa mwaka na kushindwa kuwahudumia watoto wenye utapiamlo mpaka kwenda kukinga bakuli la msaada marekani na kupewa Mchele wenye virutubisho?
 
Kwanza agenda ya Mbowe na Chama chake anachokimiliki ilikuwa ni Katiba Mpya, wamepambana weeeee hoja yao imekufa kifo cha mende baada ya miswada kupitishwa bungeni na kuwa sheria.

Akawapotezea muda wanachama wenzake kwa kuona njia pekee ni maandamano, ameandamana weeeee wananchi hawamwelewi.Huko kwenye maandamano ameongea hadi amekaribia kupata shinikizo la damu lakini wapi.

Akaona achezee hela za chama wakaitana tena pale Mtwara wakatoka na azimio la maandamano katika miji mikuu ya mikoa na wilaya.Yaani mnasafiri kwenda mtwara mnaazimia kuandamana!

Sasa ameona njia pekee iliyobakia ni uzushi tu, akipanda stejini kulalamikia hali ngumu ya maisha, wabunge wamejiongezea mishahara, cjui Rais Samia kafanya hivi, yaani hana tena hoja.

Naona kuna siku atajichanganya atavunja sheria za nchi atarudi Ukonga kuendelea na maisha yale yale ya wakati ule.

Maana utaendelea kutoa taarifa za uongo hadi lini? Serikali ipi itakuangalia weeee uwe unapotosha na kuleta uchonganishi, hakyamungu Mbowe utayatimba tu.

Kumbuka mahabusu kuna joto sana, hakulaliki huko.Shauri yako.
Una akili kidogo sana..

Si ajabu wewe ni mbunge au kada wa CCM tena eti ukiwa ni graduate wa degree ya kwanza in Political Science - UDOM.

Justification ya hili, ni uwezo wako wa kufikiri na ufahamu wako wa kupambanua mambo ni duni kama sio zero kabisa..

Kama hukuwa na la kuandika kumhusu Freeman Mbowe na CHADEMA, hukupaswa ku - expose ujinga wako kwa namna hii..!
 
Mwamba

Mwanamme unaogopa mahabusu?!

Mleta mada bure Kabisa
Asubiri tumuwekee pay slip ya mshahara wa mbunge.
Mbowe habahatishi anapo ongea. Huwa ana uhakika na data zake.
Yaani Ccm bila aibu wana sema hata 13m hazija fika, wakati Mbowe ana sema ndio mshahara waloo kuwa wana pata kipindi wako bungeni?
Ccm imesha tjona Watanzania ni viazi buruga.
 
Back
Top Bottom