Alibakari live interview on DJ sepetu show!!

Alibakari live interview on DJ sepetu show!!

Kwa sasa kazi inayoniingizia kipato ni ufundi pekee, zamani kidogo niliwahi kuwa mchoraji wa plate namba za magari, maduka, mabango ya matangazo na kufanyia fitting nyumba.
Wanasema mafundi ni Malaya kweli hivi wakati mwingine huwa huwatamani Wateja au wao kukutamani wewe,vip unakwepa matamanio ya mwili mzee?
 
Wanasema mafundi ni Malaya kweli hivi wakati mwingine huwa huwatamani Wateja au wao kukutamani wewe,vip unakwepa matamanio ya mwili mzee?
Sikatai kuhusu hilo kwani ilishawahi kunitokea mwaka 2008, kuna mdada tv yake iliharibika then akanitafuta usiku wa saa 6, kweli nilifika kwake na kuicheki lakini mazingira niloyakuta ilibidi nijikaze kiume na kwa vile natambua nipo kwenye kutafuta ikanibidi nisimamie maamuzi yangu. Nilimuomba samahani kisha nikamwambia muda huu sifanyi kazi.

Ukijua unachokitafuta tilia mkazo na zingatia unachokitafuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom