Ina husu na nini kuitaja zanzibar nawe, kafanya mmoja na yamalizie kwake, usiamshe walolala mankachara. Wazanzibari wanaajenda zao muhimu mwaka huu, na wanazifahamu kwahakika ya mambo.