Huwa mwanaume anayekimbilia kuwaongelea wazazi kwenye issue zisizo za lazima huwaga simtofautishi na mwanamke. Huwezi kumtetea msanii umpendae bila kuhusisha baba au mama?Wacha wee hivi ukimwekea mamako shake ua bambam ya mond na Mwana ya alikiba atapenda ipi labda??...#samahani lakini jibu ni Mwana na ikitokea kataka shake ua bambam basi simply atakuwa SHANGINGI hahahahaaaaa
Ninajiuliza kama wewe.myb anashauliwa na kidot.Sijui ni kukosa washauri!!?
Sawa Abdu kiba.wakuu K 4 REAL anatisha hii ngoma ni noumaaaa usichezee moto wa K 4 REAL ata monds anaujua ndo maana amekaa kimyaaaa. kiba anatishaaaaaa
Kwakweli amerudishwa, mi nilikuwa siujui huo I am addicted ila leo nimeujua tena mzuri kuliko iyo lupelaHusein Machozi amerejeshwa ktk game bila kupenda.
Tembo baada yakusikia lupela official on mkito ni ile ile iliyoleak jana teh teh
Unalia nn jibu swali puuumbav.... Me ukinifananishe na mwanamke nafurahi tu kama ambavyo nakufananisha ww na nguruwe na naomba ufurahi plllllllllz hahahahaaaaa...Huwa mwanaume anayekimbilia kuwaongelea wazazi kwenye issue zisizo za lazima huwaga simtofautishi na mwanamke. Huwezi kumtetea msanii umpendae bila kuhusisha baba au mama?
Acheni izo
Tuoneshe andiko lako ambalo ulisema wazi unaikubali Mwana ili tujue kama umezungumza ukweli na siyo defence mechanisim... Kwan mwana ya mwaka gani hadi useme jamaa kazeeka?...hahahahaaaaa Kiba utawauaaaaNaikubali Mwana na zote kurudi nyuma. Ali Kiba alikuwa fundi, kwa sasa sijui ni umri au ndo kipaji kinamaliza uhai wake.
Hivi wanaume wakiwaacha ndo mnakuwaga na wivuuuu hadi inageuka Chuki duuh hatar
Tembo baada yakusikia lupela official on mkito ni ile ile iliyoleak jana teh teh
Simba dume tunayemjua ni AFANDE SELE.... Huyo jike hatuna taarifa nae hahahahaaaaKesho tembo wote waatandamana wabadilishiwe balozi #tetesi wanasema bora #Simba King Zamunda miyeyusho
Hivi MTV ni radio station siku hizi ina deal na audios nheenheenheee...mnaharisha tu hadi hamjui mlikunya saa ngap nhenhenheeKwa wimbo alotoa Ali K akustahili kabisa msanii mkongwe kwa Game kama yeye.Afu baadae muanze kulalama mtv Base kwa kawimbo wa Hussein Machozi.
Labda Ikitokea akihojiwa Ali K na wachambuzi Wa muziki.Akiulizwa mbona ngoma linafanana na Ngoma la Hussein Machozi?
Ali K atajibu nini?
Hata ile ndomo alopiga kwa beat ya yamoto band naona nayo ilivutia ikashika chati mbali mbali ndani na nje ya nchi nheeenhenheeeeee...Hii trend ya kutoa ngoma kila leo kama Ndomo imemshinda kiba.. Ubunifu wake haumtoshi kufanya anachotaka kukifanya ili awe kama Ndomo... Mwenzake kila akitoa kitu kinavutia... Sasa kiba anatoa ngoma ka hii kweli!???. Kuanzia cheketua Video kiba akaanza zingua, mpaka hapa anaendelea kuzingua tu..
Bora awe tu kama zamani anajipanga akitoa kitu kinakuwa chenyewe
Hahahahaaaa kiba bwana akitoaga ngoma tu mkito hadi mtandao unafeli hahahahaaaaa
Anhaa kwa hiyo siku ile ulipokuwa unazungumza nae King Kiba ndo akakwambia anataka amfikie diamond... Daaaah kweli thana aysee... Saaasa hivi ile kaswida inaitwa je utanipenda sijui inapigwa sana club eeeh?...ookeeey kwa hiyo kipimo cha nyimbo ni kupigwa klab na mtaani tu eeeh ?...ooookeeey yes yes yes.Wimbo wa kuchezea club lakini mtaani hauwezi kukamata kitu..jamaa bado anasafari ndefu ya kumfikia Diamond..
Jaribu ww basi Mkwe... Maana naona unaweza hata kubisha baada ya 9 haiji 10...nhenhenheeeee kibaaaaaaMida hii mmmmh
Na website maintenance nayo ni nini unadai?
Jaribu ww basi Mkwe... Maana naona unaweza hata kubisha baada ya 9 haiji 10...nhenhenheeeee kibaaaaaa