Halafu mimi baada ya kuona inakuwa Connected na mambo ya Tembo nilifikiri ni wimbo wa Kampeni.Kumbe ni mambo ya kujibustiaDuu nimekuwa dissapointed tena na Kiba duu bado siamini kama hii ndio ngoma aliyo kwenda kurekodi! Nyimbo ina makosa mengi sana tena sana... ! Nyimbo ina makelele sana ...pia ni ya kiwango kidogo sana!
Mwanzo nilimtetea nikizani sio wimbo halisi lakini baada ya kuusikiliza kule mkito nimeshangazwa sana tena sana.....
Kimasomaso mkali kuliko huu, me Ali K namkubali sana mkuuWacha wee mzuri upi baba
Unamkubali?...tafadhali bwana mwanaume mwenzako yule hahahahaaaKimasomaso mkali kuliko huu, me Ali K namkubali sana mkuu
Mtakufa na aatawaua huyu mtoto wa Mzee SaleheHalafu mimi baada ya kuona inakuwa Connected na mambo ya Tembo nilifikiri ni wimbo wa Kampeni.Kumbe ni mambo ya kujibustia
Kaka nakupongeza kwa kuwa na roho ngumu. Unafaa kuwa mwanajeshi katika mapambano ya kugombea mpaka na Malawi.Team DNA MNA kazi Sana haya ngojeni na video nayo ili mmalize siku vizuri
Kicheche Mzee aka mla bundi.playboy baabu who are u?
Ukiilinganisha na ipi bwana mkubwa....ngoma gani ya Ali kiba unayoikubali tuanzie hapo kwanzaKaka nakupongeza kwa kuwa na roho ngumu. Unafaa kuwa mwanajeshi katika mapambano ya kugombea mpaka na Malawi.
Nasema kauli ndogo tu, "ngoma mbovu"
Hahahaha kuna watu mko wachokoz kinyama kwaio tembo haamin alichokisika
Tembo baada yakusikia lupela official on mkito ni ile ile iliyoleak jana teh teh
Kesho tembo wote waatandamana wabadilishiwe balozi #tetesi wanasema bora #Simba King Zamunda miyeyushoHahahaha kuna watu mko wachokoz kinyama kwaio tembo haamin alichokisika
Tembo baada yakusikia lupela official on mkito ni ile ile iliyoleak jana teh teh
Dah kweli mkuuuWimbo mzuri sema una kelele sana.
Wimbo una dakika 2.49 ila kiitikio kimeimbwa dakika 1.30, sekunde 20 za mdundo kabla ya kuimba na sekunde zilizobaki ndio verse.
Neno Lupe Lupe limetamkwa zaidi ya mara 60.
Ukiusikiliza utadhani unasilikiliza addicted wa Machozi
Asante Kiba, ila jipange walau ufikikie level za Baraka Da Prince
Sawa sijakataa mtazamo wko huoKaka nakupongeza kwa kuwa na roho ngumu. Unafaa kuwa mwanajeshi katika mapambano ya kugombea mpaka na Malawi.
Nasema kauli ndogo tu, "ngoma mbovu"